Goldman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 1,930
- 2,401
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina tabia ya kubembeleza especially mwanaume mwenzangu mostly huwa natoa elfu kumi either aichukue hiyo ya viatu au aniandikie fine! Sasa huyu trafik akanipa offence mbili kwamba nimeingia kwa fifty overspending pia nimepita kwa zebra overspeed, Sasa swali langu huyu trafik alikuwa na haki ya kunipa offence mbili kisheria??? Naomba mnijulishe wadau.