Nasibuhamisi
Member
- Aug 26, 2023
- 14
- 19
Wale wanaouza nje wanananunua ndani. Tunakunjaga kila kifungua kumi kumi wakati tunazihesabuHabari zenu wanajamii, naomba kuuliza kuhusu wale jamaa wa pale ilala boma wanaouza nguo kwa kutaja bei hususani zile tishet, huwa wanazitoa wapi maana huziweka kwenye mifuko tu ya kawaida zikiwa zimekunjwa vizuri. Je zinaubora upi au kunakaujanja wanafanya.
Zile za buku tatu zimesimamia elf 1100 kila moja. Ndo mana wana uwezo wa kuzishusha Bei kila siku.Je na wale wanauoza sagula..za 3000,2000 nk mfano...
Hivi ina faida?reasonable?
Je mwanamke anaweza kuihimili ile biashara?Zile za buku tatu zimesimamia elf 1100 kila moja. Ndo mana wana uwezo wa kuzishusha Bei kila siku.
Inalipa lakini uuze kwelikweli, ndo mana sehem wakikaa sagura sagura lazima wafanye fujo kujaza watu ili zichaguliwe sana wauze.
Niliwahi kuielezea humu, nikashuia madini ya maana. Cha ajabu Moderator au YinYang kayabeba madini Yale kaenda kuubganisha na kathridi kadogo tu kenye title "Nataka kuuza mitumba nifanyeje?" [emoji38]
Huwez labda uajiri vijana au mateja waliamshe. Mana haitaki aibu ile kazJe mwanamke anaweza kuihimili ile biashara?
Doh..nliwaza nifanyeHuwez labda uajiri vijana au mateja waliamshe. Mana haitaki aibu ile kaz
Waweke vijana wewe kaa pembeni uchukue helaDoh..nliwaza nifanye
Duuh maana nimeona wanauza kati ya elfu3 mpaka elfu6Wale wanachagua kwenye mabaro, wanakuja kuuza kwa kunadisha. Ubora inategemea
Safi Sana hasa nikiwa zamu juu ya meza nguo hazilali na kesho nafungua mabaro ....uje uniungishe.Mcheki Lloyd Munroe aka Azzan, mkuu wa kitendo Rova Ilala
Pm yako umeifungaSafi Sana hasa nikiwa zamu juu ya meza nguo hazilali na kesho nafungua mabaro ....uje uniungishe.