Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477
Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
 
Je ni miaka mingapi inabidi mwajiriwa mpya wa magereza au polisi asubiri kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa? Kuna binti anataka kujua hili ili aamue kuomba kazi huko. Mwenye kufahamu hili atujuze!
 
Mitatu.


Lakini broo aliingia polisi akiwa na mke na watoto wawili
 
Sheria za kizamani hizo,
Huwezi jiunga jeshi january then october unanyonyesha unatulia november na december..tena january unachumba malimao mimba tena hakuna jeshi km hilo



Lazma utumikie muda flan ndio uendelee na mikasi yako uko
 
Mitatu.


Lakini broo aliingia polisi akiwa na mke na watoto wawili
Nashukuru kwa taarifa hiyo. Sharti la asklari ni lazima uwe single!! Sema labda hakuweka wazi kuwa ana mke na mke mwenyewe hakuwa ameolewa rasmi!! Walikuwa wanaishi tu pamoja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…