Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzangu, Ni kweli Misitu yetu tumewapa Oman?

Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzangu, Ni kweli Misitu yetu tumewapa Oman?

Kuboma

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2025
Posts
1,466
Reaction score
2,581
Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzengu,nimesikia Jonh Heche anasema Mama pamoja na serikali ya CCM wamewapa Oman misitu yetu ya Tanzania nzima, wao na serikali yao ya Oman wanalipwa pesa nyingi sana kupitia hewa ya ukaa.

Huu ni mkataba wa kidunia inchi zinazochafua mazingira lazima ziwalipe wanaotunza mazingira

Je hili suala lina ukweli ndani yake?
 
Kama ni kweli,halafu hakuna sababu yoyote itakuwa ni ujinga wa kiwango cha juu kabisa,sidhani kama Magufuri angekubali huu ujinga
 
Wao ndo wanajua kuitunza mkuu alafu ni wabia tu usijali kabisa bado misistu itabaki kuwa Tanazania.
 
Ni kweli kabisa
Naomba kuuliza kwa wana CCM wenzengu,nimesikia Jonh Heche anasema Mama pamoja na serikali ya CCM wamewapa Oman misitu yetu ya Tanzania nzima, wao na serikali yao ya Oman wanalipwa pesa nyingi sana kupitia hewa ya ukaa.

Huu ni mkataba wa kidunia inchi zinazochafua mazingira lazima ziwalipe wanaotunza mazingira

Je hili suala lina ukweli ndani yake?
100%
 
Fafanua vizuri,
Nikupe mfano tembo wamepungua hifadhi zikiwa chini ya nani? Kwa mfano huo tazama mabasi ya mwendo kasi shirika la ndege shirika la reli nk.......Kuna picha umepata eeh
Yes sasa hiyo ndo sababu mimi nasema wapewe tu ....ikiwezekana hata lile jumba jeupe nalo wapewe tu
 
Back
Top Bottom