mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Je marks anazopata mtu kwenye mtihani wa kuandika (writen interview) huunganishwa na zile anazopata kwenye mtihani wa mahojiano (oral interview) wakati wa kuamua mshindi ni nani, au mshindi huamuliwa na marks anazopata mtu kwenye oral interview peke yake? Wahusika kama mkipita hapa tunaomba mtupatie majibu ya uhakika.