Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

Naomba kuuliza, kwanini bei maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L ipo juu kuliko Masafi 1.6L na Pangani 1.6L

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,033
Reaction score
895
Mwenye kufahamu sababu ya tofauti ya bei ya maji ya Uhai 1.6L na Afya 1.6L kuuzwa 700.00 wakati ujazo huohuo kwa Masafi 1.6L na Pangani 1.6L yanauzwa 500.00.

Pia kwanini maji ya Pangani 1.6L hayana Stempu ya kieletronic juu ya mfuniko?
 
Ubora wa bidhaa, packaging n.k

WENGINE WANAUZA KWA BEI YA CHINI ILI KUVUTIA WATEJA NA KUONGEZA MAUZO.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Ubora wa kifungashio au chupa ndio kinafanya bei kubwa au ndogoo maana ukiangalia ujazo wa maji na vitu vilivyopo kwenye maji vyote ni sawa kama vile pH, chloride na fluoride
 
Wewe kunywa pangani mkuu kwann ung'ang'anie mambo usiyo na uwezo nayo?Kuna wanaokunywa ya madimbwi wakitamani ya Bomba ushajiuliza hayo?
 
Back
Top Bottom