Naomba kuuliza, ngono inazeesha?

Ngono inaongeza siku za kuishi kijana, acha uwoga nenda kaoe mke wa hitaji lako uwe unajigegedea kila siku.
 
Kinyume cha Immotality ni Reproduction, yaani hatuishi milele sababu tuna uwezo wa kuzailana. Kadri unavyofanya ngono ndivyo mwili wako unavyopoteza uwezo wa kuishi zaidi.

N.B
Kuna viumbe hukata moto pale tu wanapomaliza ngono (e.g Nyuki dume)
 
Njia nzuri ya kutozeeka mapema kama unafanya anasa sana, ni mazoezi. Fanya mazoezi kila siku na jijengee nidhamu ya kuushughulisha mwili wako kwa mazoezi mbalimbali, hutakuja kusikia uzee katika miaka yako ya mwanzo.
 
Eee jibu unalo
 

Unazeeka kweli kweli. Stay celibate if you can.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…