Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
So hivo vibali vya engineer alivosema alimaanisha nnKibali ni kimoja tu building permit, unaweka bango lako unaendelea na kazi
Jamaa wana njaa sanaHuyo alikuwa na njaa na aliamini kwako atapata chakula.
Saana sio kidogo.Jamaa wana njaa sana
Kijijini ni kutoa taarifa tu, japo hawafuatilii piaHata kijijini ni lazima kibali? Niliwaza ni mambo ya gorofa ndio lazima upate kibali.
Kijijini ni kutoa taarifa tu, japo hawafuatilii pia
Ni changamoto sanaa aisee, sasahv issues zinazohusu vibali imekuwa usumbufu sana na vilevile ni kichaka cha watu kuchukua rushwaWataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya kumwambia kibali ninacho akaanza kuuliza vibali vya mkurugenzi mara engineer wa wilaya, aisee nilishangaa sana maana sijawahi kusikia hivo vitu, hii issue ya vibali ikoje?
Sio chanika kweli apo mkuu😅Wataalamu naomba mnisaidie kunijuza kuhusu vibali vya ujenzi, binafsi nina kibali cha serikali za mitaa ila kuna mtendaji alikuja site akaanza kufokafoka nikamwambia kibali ninacho, sasa baada ya kumwambia kibali ninacho akaanza kuuliza vibali vya mkurugenzi mara engineer wa wilaya, aisee nilishangaa sana maana sijawahi kusikia hivo vitu, hii issue ya vibali ikoje?
si kweli hata maeneo yasiyopimwa pia unahitajika kupata kibali cha ujenzi.Building permit hutolewa kwenye maeneo yaliyopimwa, kama eneo halijapimwa na ukataka permit utaenda ardhi na utaomba eneo lilasimishwe. Ndipo utapewa kibali
Mkuu rudia kusoma nilichoandikasi kweli hata maeneo yasiyopimwa pia unahitajika kupata kibali cha ujenzi.
Ahsante kakaKama maeneo ni ya mjini, unatakiwa uwe na michoro ya jengo lako, baada ya hapo utaenda halmashauri husika utaonesha michoro na kupewa control no. Na utalipia then utapewq kibali cha ujenzi na nakala ya michoro yako, moja ya nakala iliyo certified itakaa site na mtu akija utamuonesha pamoja na nakala ya building permit.
Kwa maeneo ya pembezoni utatembelea serikali ya kijiji/mtaa husika na utatoa taarifa ya ujenzi wako. Wao wana utaratibu wao 😀
Kweli broo, alikuja kisharishari kama vile tumevunja sheriaNi changamoto sanaa aisee, sasahv issues zinazohusu vibali imekuwa usumbufu sana na vilevile ni kichaka cha watu kuchukua rushwa
Hapana mkuuSio chanika kweli apo mkuu😅
Pole sanaa, njaa ni kali wapoze uendelee ba kazi zako..Kweli broo, alikuja kisharishari kama vile tumevunja sheria