Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Good Sunday Ladies And Gentlemen...
Miaka Kadhaa Nyuma Kulikua Na Kampeni Kabambe Kila Jumamosi Ya Kwanza Ya Mwezi Na Kila Mtu Aliiheshimu Kama Sio Kuiogopa Kabisa Siku Hiyo...
..Ni Siku Ya Usafi Kwa Nchi Nzima. Hivyo Iliwalazimu watu wote, Sekta Zote, Biashara Zote Na Kila Kinachofanya Kazi Kutokufunguliwa Mapema Kabla Ya Saa 4/3 Asubuhi Kutoa Nafasi Kwa Kila Mmoja Kushiriki Usafi Katika Mazingira Aliyopo. Hiyo Ilikua Ni Amri Ya Rais Wa Kipindi Hicho Na Ilikua Sheria, Ukienda Kinyume Chake Basi Mahakama Inakuita Kwa Faini Au Kifungo...
..Swali Langu, Mbona Hiyo Siku Haina Tena Mwamko Wala Haina Tashtwiti Wala Ufatiliaji Tena??? Serikali Imelala? Au Hii Sirikali Sio Ile Serikali?? Au Baba Na Mama Kila Mmoja Na Mipango Yake Katika Kujenga Familia?? Baba Haruhusiwi Kutumia Mpango Wa Mama Hata Kama Una Faida Kwa Watoto?? Wizara Ya Afya Au Ya Mazingira Hazipo Siku Hizi???
Ni Hayo Tu!!!