Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 May 9, 2025 #1 Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
Naangalia taarifa ya habari ITV leo nimebaki mdomo wazi mwenye kuelewa kuhusu ZNZ ilikuwa ina raia wa msumbiji ambao sio Zanzibar.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 May 9, 2025 #2 Inasikitisha sana
M Mtutuwandei JF-Expert Member Joined Jun 28, 2022 Posts 2,153 Reaction score 3,140 May 10, 2025 #3 Wamakonde wote waliopo Zanzibar ni raia. Mchango wao kwa mapinduzi ni mkubwa sana.