FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moja tuHivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
View attachment 1957471
Daaah, inauma sana🙁😢, zote wameenda kununua kitu cha mchinaUnataka kununua trekta za bilioni 300 unakuja kuulizia JF? [emoji1787][emoji1787]
Daaaah, ndio basi tena, hatuna jinsi
wamenunua nini tena?Daaah, inauma sana🙁😢, zote wameenda kununua kitu cha mchina
Mnajifanya hamjui kudaaadek zenu ☹️wamenunua nini tena?
Muulize mods wameogopa nini hadi kuutupa huu uzi kwenye vifaa vya magari 🤪🤪🤪😀😅😅😅hatujui ndio weka habari iliyo nyooka tuelewe