FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Moja tuHivi bei ya trekta ndogo kama hii ni kiasi gani? Na kwa bilioni 300 tunaweza kupata matrekta mangapi kama haya?
View attachment 1957471
Daaah, inauma sanaππ’, zote wameenda kununua kitu cha mchinaUnataka kununua trekta za bilioni 300 unakuja kuulizia JF? [emoji1787][emoji1787]
Daaaah, ndio basi tena, hatuna jinsi
wamenunua nini tena?Daaah, inauma sanaππ’, zote wameenda kununua kitu cha mchina
Mnajifanya hamjui kudaaadek zenu βΉοΈwamenunua nini tena?
Muulize mods wameogopa nini hadi kuutupa huu uzi kwenye vifaa vya magari π€ͺπ€ͺπ€ͺππ π πhatujui ndio weka habari iliyo nyooka tuelewe