Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

Naomba kuuliza wakuu.....!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Samahani wakuu,
Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka?

Asante

Nawasilisha
 
Tumia mashimo hayo hayo ya majitaka lakini maji yanayotoka jikoni yasiende direct kwenye chemba yawekee gully trap ili kuzuia harufu isiwe inarudi jikoni
Screenshot_20240916_153304_Chrome.jpg
 
Tumia mashimo hayo hayo ya majitaka lakini maji yanayotoka jikoni yasiende direct kwenye chemba yawekee gully trap ili kuzuia harufu isiwe inarudi jikoni
View attachment 3097486
Naona wewe ni mtaalamu, Engineer, lakini mimi now it is 15 yrs shimo la watu 15 (maana mashimo haya yana specification according to the expected number of people in the house/family, sijawahi mba maelezo ya kitaalamu
 
Wewe uliya-direct yote kwenye shimo moja mkuu?
 
Kuna shimo ya

Maji yote toka jikoni, chooni , sinks etc yanafikia kwenye shimo moja septic tank, then yanaenda kwenye shimo la pembe nne. Sina specific shimo la maji ya jikoni......sijui kama nimeeleweka
 
Sijakuelewa vyema mkuu
 
Samahani wakuu,
Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka?

Asante

Nawasilisha
Ni vema ukawa nayo mawili
 
Ni hali yako tu ya kiuchumi kama inakuruhusu chimba mashimo mawili yapige na plasta, lkn 99% wanatumia shimo moja tu na hakuna tatizo lolote
 
Back
Top Bottom