donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Naona wewe ni mtaalamu, Engineer, lakini mimi now it is 15 yrs shimo la watu 15 (maana mashimo haya yana specification according to the expected number of people in the house/family, sijawahi mba maelezo ya kitaalamuTumia mashimo hayo hayo ya majitaka lakini maji yanayotoka jikoni yasiende direct kwenye chemba yawekee gully trap ili kuzuia harufu isiwe inarudi jikoni
View attachment 3097486
Asante mkuuTumia mashimo hayo hayo ya majitaka lakini maji yanayotoka jikoni yasiende direct kwenye chemba yawekee gully trap ili kuzuia harufu isiwe inarudi jikoni
View attachment 3097486
Wewe uliya-direct yote kwenye shimo moja mkuu?Naona wewe ni mtaalamu, Engineer, lakini mimi now it is 15 yrs shimo la watu 15 (maana mashimo haya yana specification according to the expected number of people in the house/family, sijawahi mba maelezo ya kitaalamu
Maji yote toka jikoni, chooni , sinks etc yanafikia kwenye shimo moja septic tank, then yanaenda kwenye shimo la pembe nne. Sina specific shimo la maji ya jikoni......sijui kama nimeelewekaWewe uliya-direct yote kwenye shimo moja mkuu?
Sijakuelewa vyema mkuuKuna shimo ya
Maji yote toka jikoni, chooni , sinks etc yanafikia kwenye shimo moja septic tank, then yanaenda kwenye shimo la pembe nne. Sina specific shimo la maji ya jikoni......sijui kama nimeeleweka
Fundi Maiko anataka siteHaina haja huo ni ushauri wa fundi Maiko, maghorofa yenyewe pamoja na kuwa na vyoo,mabafu na yale ya makazi kuwa na kitchen bado yana shimo moja tu la septic
Ni vema ukawa nayo mawiliSamahani wakuu,
Kwa wataalam wa mambo ya ujenzi naomba kuuliza swali. Hivi, kama umechimba shimo kubwa la maji taka (septic), kuna ulazima wa kuchimba shimo jingine kwaajili ya kudirect maji yanayotoka jikoni au unaweza tu yote ukayapeleka kwenye shimo kuu la maji taka?
Asante
Nawasilisha