Naomba kuuliza waliofanya oral interview community Development kama wameitwa kazini tayari

Olly Bless

Member
Joined
May 23, 2023
Posts
63
Reaction score
77
Habarini,

Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze.

Asante
 
Bado hawajaitwa.Nimetoka nampigia mdau mmoja,aliyefanya,akanijibu hivyo leo.
 
Bado ndugu yangu tupo tu tunasubiri, na pia fatilia website ya psrs utaona tu wakianza kuita
 
Habarini,

Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze.

Asante
Hii wataanza kuita disemba au January
 
Back
Top Bottom