Olly Bless
Member
- May 23, 2023
- 63
- 77
Asante....unaweza kuwa unasubiri kumbe wenzako wako kazini tayari.Bado hawajaitwa.Nimetoka nampigia mdau mmoja,aliyefanya,akanijibu hivyo leo.
Zilikua 800Nafasi za kazi zilikuwa ngapi?
Si haba. Tunawatakia kila la kheriZilikua 800
Sawa nimekuwa nafuatilia ila nimeona kama mda umepita nikahisi wanaweza kuwa wameita.Bado ndugu yangu tupo tu tunasubiri, na pia fatilia website ya psrs utaona tu wakianza kuita
Ndio naijua ndugu.Public Service Recruitment Secretariat | PSRS
Hii website unaijua?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Sawa....Mungu atufanyie wepesiBado ndugu yangu tupo tu tunasubiri, na pia fatilia website ya psrs utaona tu wakianza kuita
Hii wataanza kuita disemba au JanuaryHabarini,
Naomba kuuliza waliofanya oral interview ya community development Ile ya watu 800 kama tayari wameitwa kazini, kama Bado wadau kama Kuna mtu anayejua lini wataita atujuze.
Asante
I see mbona wanachelewa sanaHii wataanza kuita disemba au January
Kwa inavyoonekana sasa hv wako fasta kuita, wameshaanza kuita waliofanya interview mwezi wa7 so hata cdo hawako mbali sanaHii wataanza kuita disemba au January