Umepewa akili ili uitumie kupata maarifa na kutafakari mambo...
Kilichoandikwa unapaswa ukielewe, halafu ukipambanue...
Sasa wewe unataka neno liandikwe kama unavyowaza katika kichwa chako, lakini hutaki kunyambulisha yale yaliyoandikwa ili uyaelewe katika namna yanavyopaswa kueleweka...
Wingi wa mke zaidi ya mmoja ni neno wake, sasa mistari ya biblia ilipoandika juu ya ndoa imekuwa ikitaja umoja tu kwa maneno ama mke au mume, maana yake kinyume na hapo hakuna maelekezo mengine...
Ukishindwa kuelewa na hapa, basi kwaheri