Naomba kuuliza waungwana

Imeandikwa

1 Wakorintho 7
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Zingatia: mke wake mwenyewe na sio wake zake mwenyewe
Sijaona mstari unaosema marufuku au zambi kuoa mke zaidi ya mmoja? au ujaelewa mada
 
Hakuna sheria ya kidini, kiutamaduni, na kiserikali inayokuzuia kuoa wake wengi.

Isipokuwa sheria za Makanisa ambazo ni maoni tuu ya viongozi WA dini wala sio sheria za Imani.

Kwenye Ukristo na uislam sheria zinapatikana kwenye Torati na sio mahali pengine. Maandiko mengine tofauti na Torati ni Mafundisho, historia, unabii na maoni ya mitume. Hivyo sio SHERIA
 
Sijaona mstari unaosema marufuku au zambi kuoa mke zaidi ya mmoja? au ujaelewa mada

Umepewa akili ili uitumie kupata maarifa na kutafakari mambo...

Kilichoandikwa unapaswa ukielewe, halafu ukipambanue...

Sasa wewe unataka neno liandikwe kama unavyowaza katika kichwa chako, lakini hutaki kunyambulisha yale yaliyoandikwa ili uyaelewe katika namna yanavyopaswa kueleweka...

Wingi wa mke zaidi ya mmoja ni neno wake, sasa mistari ya biblia ilipoandika juu ya ndoa imekuwa ikitaja umoja tu kwa maneno ama mke au mume, maana yake kinyume na hapo hakuna maelekezo mengine...

Ukishindwa kuelewa na hapa, basi kwaheri
 
unaetafuta kuhalalisha.uzinzi ndani ya ndoa una michepuko kibao ila umejigicha kwenye umwamvuli wa ndoa.

nikwambie tu yupo aonae ya sirini hata usipohalalisha hazarani haina tabu. ulikuja mwenyewe utaondoka mwenyewe.
 
Ww oa wanawake wengi ukishindwa kuwanyandua tutakusaidia ila usije hawa na hasira na kuua mtu.
Maisha yenyewe yalivyo stress wanawake wengi unataka kufungua chuo za ususi?
 
Ukweli mtupu..
 
Kwahiyo mkeo huyo mmoja akiumwa let say saratani ya shingo ya uzazi,kiasi kwamba huwezi kufanya nae tendo la ndoa, Basi uwe unapiga punyeto au inakuaje?? vitu vingine dini ya ukristo umevizua tu wenyewe,Wala havipo ktk vitabu vya kale vya mungu
 
Pesa zako wewe oa tu au wataka kuoa kanisani tena?🙂
 
Inazungumzwa mke mmoja kwa kuwa ndoa hufungwa kwa mke mmoja na sio wengi kama three some kwa mara moja. Yaani ni kama watoto kwa mzazi, unazaa mara moja mtoto mmoja lakini baadae unakuwa na watoto 4, shule watasema kila mtoto aje na mzazi wake, watoto wako 4 wataenda na wewe lakini pale kila mtoto atasema kwa nafsi yake kuwa huyu ni mzazi wangu na sio mzazi wetu.
 
Imeandikwa

1 Wakorintho 7
2 Lakini kwa sababu ya zinaa kila mwanamume na awe na mke wake mwenyewe, na kila mwanamke na awe na mume wake mwenyewe.

Zingatia: mke wake mwenyewe na sio wake zake mwenyewe
Tafsiri ni kuwa awe na mwanamke atayekuwa anachovya kila mara na sio awe anadandia dandia wanawake, na hao wanawake pia wasiwe wanadandiwa na wanaume tofauti tofauti pasipo kuwa na mtu permanent. Mtu akiwa na wake 6 permanent ni sawa, lakini ingekuwa si sawa kama angekuwa ananunua makahaba 6 kila mara.
 

Kwa hiyo hao 6 ndio wanaitwa mke au wake?
 
Kwa hiyo hao 6 ndio wanaitwa mke au wake?
Mke. Cheti cha ndoa ni kati ya mtu mume na mtu mke. Kwa muktadha wa sheria, kwa muktadha usio rasmi sana wataitwa wake
 
Mfalme Selemani alikuwa na wake 700 licha ya masuria (i.e.michepuko) 300 - haya kazi kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…