Naomba kuuliza yuko wapi Ruge wa CMG??

Naomba kuuliza yuko wapi Ruge wa CMG??

Bururu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
877
Reaction score
584
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
 
Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
Ni mgonjwa..
Na hivi karibuni afya yake ilikuwa imezorota sana, sifahamu kwa hivi sasa.
 
Jamaa naskia mgonjwa sana according to da Mange inasemekana kalishwa sumu na genge la mungu wa Darisalama
 
Unamtafutia nini? Unamdai?? Na Kama haumdai Pambana na Hali yako mana uko aliko iko anapambana na hali yake ..karma it s working to him.
 
Back
Top Bottom