Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakoromije ni hatari sana, mwambie aende rukwa sumbawanga lyambalyamfipa kuna mzee mmoja anaitwa kapufi atamuelekeza kwa mzee mmoja yupo stalike, akifika stalike ataelekezwa kwenda mpanda mjini, akifika pale tatizo lake litakuwa limeisha baada ya siku mbiliNi muathirika wa miziziology.
Ni mgonjwa..Ni mda sasa sijamsikia Mkurugenzi wa Clouds Media Ruge na sasa ni msimu wa Fiesta,si kawaida msimu wa Fiesta kuanza bila kusikia neno toka kwa uyu jamaa.Kwa anaejua au fununu atujuze
Kama ndiyo hivyo basi namtakia uponyaji wa haraka na Mungu azidi kumpa nguvu .Anaumwa
Daaah hii sasa hatari sana!!!!!Jamaa naskia mgonjwa sana according to da Mange inasemekana kalishwa sumu na genge la mungu wa Darisalama
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] haya wakuu kumbe kuna mungu wa darisalamaJamaa naskia mgonjwa sana according to da Mange inasemekana kalishwa sumu na genge la mungu wa Darisalama
Jamaa naskia mgonjwa sana according to da Mange inasemekana kalishwa sumu na genge la mungu wa Darisalama
Nawew umepata habari kwa punga sese mwenziyo ?
I think punga sese ni mamako na babako