Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Nimepewa humu ID nyingi sana kila anayeuliza Mbao za Mawe wanasema ni mimi najitekenya mwenyewe na kucheka.

Nina ID kadhaa ndiyo ila sio za hivi Id zangu lazima ziwe na majina matatu. Mfano: Kamati ya Harusi.
Unafanana mwandiko na raphael wa ureno sio ww kweli?
 
Oh nilihisi tu ulifanya kosa gani mkuu kama hutajali ni life ban?
Kuna Mpuuzi mmoja nilimtusi nadhani hata yeye baada ya tusi lile sijawahi kumuona huyu nadhani Mods nao walimtoa humu kulinda heshima yake.
 
Kuna Mpuuzi mmoja nilimtusi nadhani hata yeye baada ya tusi lile sijawahi kumuona huyu nadhani Mods nao walimtoa humu kulinda heshima yake.
Hahaa punguza nilikua nikikusoma kwa hiyo id sikuishiwa vicheko, hata hii pia nikahisi mnaweza kua mnafanana au mtu mmoja, usitukane bana
 
Back
Top Bottom