Naomba kuuliza

Naomba kuuliza

Punde nitaondoka sitotumia tena JF nitarudi zangu Facebook nadhani wiki hii naweza kuitumia kwa mara ya mwisho.
Kwa nini??? Me nimejaribu kadhaa kuacha jf nimeshindwa lakini ukiamua inawezekana
 
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
Mpish wangu huyu ... Kwan ulkua hujui
 
Back
Top Bottom