Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
Good me hua unanifrahisha tu na majibu yakoNimeacha siku hizi, imebaki tu kutaniana na watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good me hua unanifrahisha tu na majibu yakoNimeacha siku hizi, imebaki tu kutaniana na watu.
Punde nitaondoka sitotumia tena JF nitarudi zangu Facebook nadhani wiki hii naweza kuitumia kwa mara ya mwisho.Good me hua unanifrahisha tu na majibu yako
Kazi ya ulinzi unatakiwa uwe alert muda wote sasa wewe unapata wapi huu muda....?Ninafanya kazi ya Ulinzi KK SECURITY usiku silali mchana silali.
Kwa nini??? Me nimejaribu kadhaa kuacha jf nimeshindwa lakini ukiamua inawezekanaPunde nitaondoka sitotumia tena JF nitarudi zangu Facebook nadhani wiki hii naweza kuitumia kwa mara ya mwisho.
We itakuwa ni Mvulana wa Dar
Sijui chimbuko langu nilishangaa natembea tu mitaani.We itakuwa ni Mvulana wa Dar
Taarifa za usalama nyingi nazipata humu.Kazi ya ulinzi unatakiwa uwe alert muda wote sasa wewe unapata wapi huu muda....?
Ninaona ban unanifuatilia kila siku, ili kulinda heshima niondoke mwenyewe.Kwa nini??? Me nimejaribu kadhaa kuacha jf nimeshindwa lakini ukiamua inawezekana
Jaribu kujizuia tuNinaona ban unanifuatilia kila siku, ili kulinda heshima niondoke mwenyewe.
Wewe unalinda taifa au unamlinda mtu na mali zake, habari gani za kiusalama unazozipata humuTaarifa za usalama nyingi nazipata humu.
Usalama wa hali ya hewa kwenye eneo ninalokaa maana nipo Bondeni.Wewe unalinda taifa au unamlinda mtu na mali zake, habari gani za kiusalama unazozipata humu
Mpish wangu huyu ... Kwan ulkua hujuiKama kichwa cha habari kinavyoeleza,naomba kukufahamu member na mdau mwenzetu wa jukwaa hili,almaarufu kama MBAO ZA MAWE.
Napenda kufahamu,ndugu yangu wewe una kazi/cheo gani kwenye taifa hili maana,si asubuhi si mchana yaani kila muda hauishi kuchangia tena ulivyo shapu kila jukwaa wewe haukosekani.namaanisha hufanyi kazi au kazi yako nyepesi kiasi gani,kiasi kwamba haiku keep busy.
Yaan wanafanana kabisa ... Kabisa yaan hadi kuongea kuandika .. Kukojoa na kunyaMbao za mawe na Joseverest ni ndugu hawa
Bora angekua anaunguzaHahahaha haunguzi chakula huyu
Acha tuu. Acha tuu mtalia wote humuFunguka mkuu