[emoji23][emoji23]Hiyo ya kamati ya harusi inaniacha hoi [emoji23][emoji23]1.Mbao za Mawe
2. Kamati ya Harusi
3. Mtu wa Green
4. ?
Mtu wa Green sio yangu ID zangu zina majina ya Kiswahili.[emoji23][emoji23]Hiyo ya kamati ya harusi inaniacha hoi [emoji23][emoji23]
Hahaha! Uzalendo mbele, sasa hiyo ya 3 na ya 4 ni zipi? Wahuni wasijetumia loophole wakaja na zao!Mtu wa Green sio yangu ID zangu zina majina ya Kiswahili.
Unafanana mwandiko na raphael wa ureno sio ww kweli?Nimepewa humu ID nyingi sana kila anayeuliza Mbao za Mawe wanasema ni mimi najitekenya mwenyewe na kucheka.
Nina ID kadhaa ndiyo ila sio za hivi Id zangu lazima ziwe na majina matatu. Mfano: Kamati ya Harusi.
RuW ni yangu ila ipo kifungoni.Unafanana mwandiko na raphael wa ureno sio ww kweli?
Haha! Watu na ID zao bwana.[emoji23][emoji23]Hiyo ya kamati ya harusi inaniacha hoi [emoji23][emoji23]
Upepo wa pesaMtu wa Green sio yangu ID zangu zina majina ya Kiswahili.
Hapana sio yanguUpepo wa pesa
Hahaha! ZinafurahishaHaha! Watu na ID zao bwana.
Sawa kamati ya harusi [emoji23]Hapana sio yangu
Duh Kamati ya Harusi ipo njiani sina kwa sasa.Sawa kamati ya harusi [emoji23]
Mbona kama niliiona humuDuh Kamati ya Harusi ipo njiani sina kwa sasa.
Hata kama itakuwepo basi siyo yangu nilitoa mfano wa Id zangu.Mbona kama niliiona humu
AiseeeDuh Kamati ya Harusi ipo njiani sina kwa sasa.
Oh nilihisi tu ulifanya kosa gani mkuu kama hutajali ni life ban?RuW ni yangu ila ipo kifungoni.
Kuna Mpuuzi mmoja nilimtusi nadhani hata yeye baada ya tusi lile sijawahi kumuona huyu nadhani Mods nao walimtoa humu kulinda heshima yake.Oh nilihisi tu ulifanya kosa gani mkuu kama hutajali ni life ban?
Hahaa punguza nilikua nikikusoma kwa hiyo id sikuishiwa vicheko, hata hii pia nikahisi mnaweza kua mnafanana au mtu mmoja, usitukane banaKuna Mpuuzi mmoja nilimtusi nadhani hata yeye baada ya tusi lile sijawahi kumuona huyu nadhani Mods nao walimtoa humu kulinda heshima yake.
Nimeacha siku hizi, imebaki tu kutaniana na watu.Hahaa punguza nilikua nikikusoma kwa hiyo id sikuishiwa vicheko, hata hii pia nikahisi mnaweza kua mnafanana au mtu mmoja, usitukane bana