Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Jirani yangu ni msabato na anafanya biashara ya kuuza gesi hapo nyumbani kwake. Sasa jumamosi wakati naendelea kupika gesi ikaisha, nikafungua mtungi wa gesi ili nikanunue niendelee na mapishi.

Mungu wangu wee jirani alikataa kata kata kuniuzia kisa ni siku ya sabato! Hakika nilishikwa na butwaa!

Dini zingine hizi Mungu anawaona!
 
Asee master hiii PDF ni ndefu kidg taipitia badae kwasasa naomba unisaidie kitu mana naona una madini sanaa hiv zamani izo siku zilikua zinaitwaje mpk tukaja kwny haya majina ya sasa na ilikuaje kwa wasabato sabato yao ikaangukia jmos,na wengne j2,friday etc
Usichanganyikiwe mkuu haya unayo yaona yalianza hapa;-

Yohana 4:19
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!

Yohana 4:20
Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.

Yohana 4:21
Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Yohana 4:22
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.

Yohana 4:23
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

Yohana 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Shida ilianzia hapo, hivyo baadhi ya watu wakaendelea kwenda mlimani, wengine walianza kubagua siku n.k

SIjui wewe ndugu yangu upo wapi kwa hao watu ama Yesu?

NB: Kasome sura nzima Yohana 4 kupata maana kamili
 
Ubinadamu kazi. Dhambi hapo ni ipi
1.Kukuuzia maji?
2. Kufungilia bomba maji yatoke?
3. Kupokea pesa?
4. Wasabato hawachoti maji siku ya Sabato?
 
Back
Top Bottom