Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

Kyambamasimbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
762
Reaction score
1,597
Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku?

Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi.

Aidha nimejaribu kuwauliza maana ya usemi huo wanasema hawajui.

Naomba msaada wa kujua maana na uhusiano wake hapa nchini kwetu.
 
waulize chadema wanavyo mkumbuka jpm kimoyomoyo sema ndio ivyo ni wakuda
 
Ndio hvyo hata umuhim wa kitu hauonekani ukiwa nacho mpk kiwe hakipo au kiwe adimu
 
Mfano wew ukilambishwa asali utakumbuka umaskini uliokua nao!?
 
Back
Top Bottom