professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Kabsa ,kama hata topic tumchagulie😁😁Mpaka hapo ndoto zako za.kuitikisa dunia zimekwama
[emoji23][emoji23][emoji23] dah you just made my day...kwa iyo unataka kutikisa duniaHope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama tungekuwa na mawazo ya research ya kutikisa dunia, tungesubiri mpaka tukupe wewe? Kwani sisi hatutaki kuitikisa hiyo dunia?
Hapa hutaambulia kitu. Kojoa ukalale.
Owner wa Amazon alikuwa anafund project ya watu kuishi milele, tesla watu kutafuta makoloni mapya ulimwenguni,Hope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
Kimara kuna Mbu wengi kumbe?Tafuta dawa kali ya kuua mbu kimara. Utatikisa kimara nzima
Fanya research ya kuzimu, uje na picha pamoja na video kabisa.Hope ni wazima.
Wakuu nataka nifanye research itakayo tikisa dunia na ulimwengu wa sayansi kwa ujumla.
Wakuu naomba mawazo yenu je nifanye juu ya topic ipi??
Aiseee.! Maana kila kitu mdhungu kasha gundua. 😄onyesha yalipo makazi ya Mungu, rudisha uhai, komesha kifo.
dunia haitakusahau.