Naomba Maelekezo jinsi ya kufika shule ya Ahmes

Naomba Maelekezo jinsi ya kufika shule ya Ahmes

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
893
Reaction score
1,739
Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc.
Mimi natokea Ukonga
 
Nenda Websites zao nadhani utakuta namba za Huduma kea wateja wapigie watakupa majibu.
 
Hello watanzania wezangu, naomba mnipe maelekezo ya kufika shule ya AHMES (advance) nipande magari yapi nishuke wapi etc.
Mimi natokea Ukonga
Panda gari za Bagamoyo kinda atakuelekeza.Au panda gari za Bunju halafu utapanda za Bagamoyo Bunju
 
hivi hiyo shule ina uhusiano wowote na awamu ya pili?
 
Back
Top Bottom