izo ni sildenafil(first generation ya dawa za kusaidia watu wenye tatizo la nguvu za kiume-(erectile dysfunction/impotence)
zinapatikana kwa vidonge vyenye active ingredients ya 50/100mg.. unatumia kidonge kimoja kabla ya kunjunjana.. inakusaidia uperform vizuri for almost 5 to 6 hours na inaanza kufanya kazi 5-10 minutes baada ya kuitumia , ila kama mdau wa juu apo alivosema kama unashida ya blood pressure tumia kwa tahadhari, maana inaongeza mpk kasi ya mzunguko wa damu.
ila nakushauri, if unataka result nzuri bila side effect kubwa, tumia tadalafil(mplify, apcalics, saheal) izi ni third generation na active ingredient yake ni only 20mg, zimepunguziwa area zinakoenda kusababisha effects, zenyewe zinalenga kuongeza kiwango cha damu kinachoingia kwene uume kwa kuongeza dilation ya vessels zinazopeleka damu huko, zitakusaidia uwe active for 36-72, depending na brand, zinaanza kufanya kazi 30-60 min.. so unaeza itumia mda mrefu kabla ya tukio, hazileti effect kama hujawa sexual stimulated... so for all those hours utakuwa active pale tu unapotaka kuperform kama zilivo hisia za kawaida
Kumbuka; izi dawa zipo kwa ajili ya wenye matatizo, kama huna tatizo usipendelee kuzitumia, ila kama mtu amekudanga mpaka unaona kiasilia hutaenda nae sawa... hamna namna tumia tu ila malaya hakomolewi,
zaidi, piga matizi, kula msosi safi, epukana na kitu kinaitwa stress(kujihisi una tatizo).. tatizo la nguvu za kiume sio kubwa kama linavochukuliwa ila linatengenezwa kwa propaganda ni maada ndefu.
zaidi, izi dawa zinaweza tumika pia kuwasaidia wenye matatizo ya pressure
over.
Sent using
Jamii Forums mobile app