aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Kwa mara ya kwanza nimeona kiumbe wa ajabu, anaitwa "AXOLOTL"
Naombeni maelezo ya kiswahili kumuhusu.
Kwa haraka haraka nimesikia ukimkata kiungo fulani cha mwili (mguu etc), eti kinaweza kuota kingine baada ya muda fulani.
Kama hilo ni kweli kwanini wana sayansi wasifanye sayansi zao wakampandikiza hata kwa kuku ili tuwe tunakata mapaja, vipapatio n.k huku tukisubiri vingine viote.