Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga