Hatuna viongozi wazalendo wa kujali Taifa kwanza kabla ta kujali matumbo yao na familia zao. Na hii ndio tabia halisi ya mtu mweusi(muafrika). Mimi naamini hata ikifika mwaka 4000 tukawa bado maskini kwa hizi akili zetu.
Ridhiwan anajua vizuri. Nashangaa hajawahi hata kwenda kuwashukuru wananchi wa Mtwara. Gesi ni mkombozi wa maisha ya vigogo. Nyie kajamba nani endeleeni kutwishwa ndoo ya maji na maji yenyewe hakuna.
Sasa hivi imani inanitoka kabisa kuhusu matendo serikali inatufanyia. Gesi ya Mtwara hisia zangu ilishapigwa mnada. Kuna mwana JF aliwahi kuandika andiko lake akasema kuna Melissa zinaenda kuchota na kuondoka. Tujiulize zinaondoka kwenda wapi? Sisi wananchi wanyonge kweli tunanyongwa sana.
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
1. Naomba nianze kwa kukufahamisha mmiliki wa Gesi ya Mtwara.
Gesi asilia ya Mtwara inamilikiwa na serikali ya Tanzania. Serikali imeingia mikataba ya Ubia wa Uzalishaji (Production Sharing Agreements - PSA) na wawekezaji mbalimbali. Katika mfumo huu wa PSA, mwekezaji anatoa mtaji na utaalamu kwa ajili ya uchimbaji na usindikaji wa gesi, kisha mapato yanagawanywa kati ya serikali na mwekezaji kulingana na makubaliano yaliyowekwa.
2. Serikali hupata mapato kupitia kodi, mrahaba, na sehemu ya mapato kutokana na gesi inayozalishwa chini ya mikataba ya PSA. Hii ina maana kwamba serikali inapata faida endelevu kulingana na kiwango cha uzalishaji na bei ya gesi katika soko la kimataifa, badala ya kulipwa kwa mauziano ya moja kwa moja.
3. Serikali imeamua kuwa na mchanganyiko wa vyanzo vya nishati ili kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika na wa gharama nafuu. Ingawa gesi asilia ilionekana kama suluhisho kwa tatizo la kukatika kwa umeme, uwekezaji katika Mradi wa Bwawa la Nyerere ni juhudi za kuongeza uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vya maji. Hii inasaidia kupunguza utegemezi kwa chanzo kimoja cha nishati na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa umeme kwa muda mrefu.
4. Taarifa kuhusu faida na maendeleo ya miradi ya gesi zinaweza kupatikana kwenye tovuti za taasisi za serikali kama Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Hapa, ripoti za mapato, uwekezaji, na mchango wa gesi katika uchumi wa nchi zinawekwa wazi kwa umma.
5. Gesi ya kupikia nchini Tanzania kwa kiasi kikubwa ni LPG (Liquefied Petroleum Gas), ambayo inaagizwa kutoka nje ya nchi. Makampuni kama Oryx Gas, Total Gas, Taifa Gas, Puma Gas, na mengine husambaza LPG hiyo nchini. Gharama za uagizaji, usafirishaji, na kodi huchangia kufanya bei ya gesi hiyo kuwa juu kwa watumiaji. Unaweza kununua gesi hii kupitia wauzaji rasmi au mtandaoni kupitia tovuti kama:
Kwa upande wa gesi asilia ya Mtwara, hii ni gesi inayosambazwa kupitia mabomba yaani Piped Natural Gas (PNG )na inasimamiwa na TPDC. Ili kuitumia nyumbani kwako, unahitaji kuwasiliana na TPDC ili waunganishie bomba la gesi hadi nyumbani kwako.
Hii inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya maeneo ambako miundombinu ya mabomba haijafika bado.
Hivyo ndugu yangu kuhusu swali lako la mwisho, ni muhimu kutambua kwamba Bunge ni mhimili muhimu katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia kwa ajili ya uwakilishi wa wananchi na utungaji wa sheria. Changamoto katika mikataba na usimamizi wa rasilimali zinaweza kutatuliwa kwa kuimarisha mifumo ya uwajibikaji, uwazi, na ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi muhimu. Kuondoa Bunge si suluhisho; badala yake, tunahitaji kuhimiza uzalendo, uwajibikaji, na uadilifu miongoni mwa viongozi wetu. Kwa kufanya hivyo, tutaweza kuhakikisha kwamba rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote kwa sasa na kwa vizazi vijavyo.
. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
Maswali ni valid kabisa. Wenye Mamlaka tunaomba majibu ili kuwe na uelewa wa pamoja na kuepusha upotoshaji. Ni lengo letu kuwa rasilimali za nchi ziwanufaishe wananchi wote kwa maana ya uwepo wa huduma nzuri kama miundombinu, afya, elimu n.k Mikoa ya kusini mwa nchi ni miongoni mwa maeneo yaliyo underdeveloped sana hasa miundombinu.
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Ajabu saa hizi wanahamisisha matumuzi nchi nzima ya gesi ya LPG inayoletwa na makampuni ya wahindi. Yaani kama una akili ya kutosha mwananchi unaona kabisa ile gesi ya NPG inayozalishwa tanzania kama vile ni biashara ya watu wenye malengo tofauti kabisa na kusuluhisha mambo ya maendeleo ya watanzania. Inaelekea wale wamiliki halisi wa gesi ya Tanzania mpango wao ni kuiuza nje na wale wafanyabiashara wahindi wa nchini wao lengo lao kuongeza mauzo yao ya gesi ya LPG kutoka nje wakisaidiwa na serikali kutumia mkakati wa kudhibiti mazingira. Yaani nchi hii ina maajabu na kwa mtindo huu wa kuongozwa na maslahi ya wageni hatutaweza kuendeleza nchi na watu wetu.

Hoja nzuri na maswali mazuri,uzalendo unahujumiwa na waliokwisha onja asali,wapo tayari kuvuji buyu la asali hata na mizinga yote.Ili ailambe asali peke yake.Kuondoa jukumu mama la utunzi wa sheria wezeshi kulamba asali,hapo patachimbika,kuundwa tume/taasisi ya kutunga sheria kwa nchi ya giza /bara la giza patachimbika.Hapo kuhusu uzalendo watahubiriwa wasiofikia buyu la asali ila kwa walamba asali wanakinga dhidi ya uzalendo.
1. Naomba nianze kwa kukufahamisha mmiliki wa Gesi ya Mtwara.
Gesi asilia ya Mtwara inamilikiwa na serikali ya Tanzania. Serikali imeingia mikataba ya Ubia wa Uzalishaji (Production Sharing Agreements - PSA) na wawekezaji mbalimbali. Katika mfumo huu wa PSA, mwekezaji anatoa mtaji na utaalamu kwa ajili ya uchimbaji na usindikaji wa gesi, kisha mapato yanagawanywa kati ya serikali na mwekezaji kulingana na makubaliano yaliyowekwa.
2. Serikali hupata mapato kupitia kodi, mrahaba, na sehemu ya mapato kutokana na gesi inayozalishwa chini ya mikataba ya PSA. Hii ina maana kwamba serikali inapata faida endelevu kulingana na kiwango cha uzalishaji na bei ya gesi katika soko la kimataifa, badala ya kulipwa kwa mauziano ya moja kwa moja.
3. Serikali imeamua kuwa na mchanganyiko wa vyanzo vya nishati ili kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika na wa gharama nafuu. Ingawa gesi asilia ilionekana kama suluhisho kwa tatizo la kukatika kwa umeme, uwekezaji katika Mradi wa Bwawa la Nyerere ni juhudi za kuongeza uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vya maji. Hii inasaidia kupunguza utegemezi kwa chanzo kimoja cha nishati na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa umeme kwa muda mrefu.
4. Taarifa kuhusu faida na maendeleo ya miradi ya gesi zinaweza kupatikana kwenye tovuti za taasisi za serikali kama Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Hapa, ripoti za mapato, uwekezaji, na mchango wa gesi katika uchumi wa nchi zinawekwa wazi kwa umma.
5. Gesi ya kupikia nchini Tanzania kwa kiasi kikubwa ni LPG (Liquefied Petroleum Gas), ambayo inaagizwa kutoka nje ya nchi. Makampuni kama Oryx Gas, Total Gas, Taifa Gas, Puma Gas, na mengine husambaza LPG hiyo nchini. Gharama za uagizaji, usafirishaji, na kodi huchangia kufanya bei ya gesi hiyo kuwa juu kwa watumiaji. Unaweza kununua gesi hii kupitia wauzaji rasmi au mtandaoni kupitia tovuti kama:
Kwa upande wa gesi asilia ya Mtwara, hii ni gesi inayosambazwa kupitia mabomba yaani Piped Natural Gas (PNG )na inasimamiwa na TPDC. Ili kuitumia nyumbani kwako, unahitaji kuwasiliana na TPDC ili waunganishie bomba la gesi hadi nyumbani kwako. View attachment 3149313
Hii inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya maeneo ambako miundombinu ya mabomba haijafika bado.
Hivyo ndugu yangu kuhusu swali lako la mwisho, ni muhimu kutambua kwamba Bunge ni mhimili muhimu katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia kwa ajili ya uwakilishi wa wananchi na utungaji wa sheria. Changamoto katika mikataba na usimamizi wa rasilimali zinaweza kutatuliwa kwa kuimarisha mifumo ya uwajibikaji, uwazi, na ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi muhimu. Kuondoa Bunge si suluhisho; badala yake, tunahitaji kuhimiza uzalendo, uwajibikaji, na uadilifu miongoni mwa viongozi wetu. Kwa kufanya hivyo, tutaweza kuhakikisha kwamba rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote kwa sasa na kwa vizazi vijavyo.
1) Gesi kumilikiwa na serikali huu ni UONGO
Ni sawa na kusema migodi ya geita, bulyanhulu, north mara nayo inamilikiwa na serikali.
Gesi ambayo tayari kumefanyika exploration na extraction sio mali ya serikali bali ni mali ya mwekezaji ndio maana serikali inanunua hiyo gesi. Serikali ingekua inamiliki isingekua inanunua(simple logic)
Wabunge waliulalamikia sana huo mkataba wa hati ya dharura kuwa ni wa kijinga na kipumbavu lakini kama kawaida ya ccm waliusifia kuwa tutasahau tatizo la umeme na kuuza nje ya Nchi na utakuwa umeme wa bei ya chini kabisa afrika nzima.Matokeo yake tumejionea kuwa ni uhuni mtupu.Kikwete alitukosea sana watanzania kutusainisha limkataba la kijinga la kimangungo.
Mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani ni makubaliano ya muda mrefu kati ya wanunuzi na wauzaji ambayo ndiyo njia kuu ya kuuza gesi asilia na gesi asilia (LNG) kimataifa. Mikataba hii ni muhimu kwa kupata usambazaji thabiti wa gesi asilia na kupunguza tete ya bei.
Hapa ni baadhi ya vipengele muhimu vya mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani:
Muda: Kwa kawaida, mikataba ya muda mrefu ni miaka 20-25.
Ugawaji wa hatari: Muuzaji anachukua hatari ya bei, wakati mnunuzi anachukua hatari ya kiasi.
Masharti: Mikataba ni pamoja na vifungu vya ukaguzi wa bei, mabadiliko ya hatua ya utoaji, na kufutwa kwa malipo.
Kupungua kwa kaboni: Mikataba inazidi kuingiza mahitaji ya kupunguza uzalishaji wa kaboni.
Aina: Kuna aina mbili za mikataba ya kununua gesi asilia: imara na ya kukatiza.
Baadhi ya aina nyingine za mikataba katika sekta ya mafuta na gesi ni pamoja na: Makubaliano au leseni, mkataba wa kushiriki uzalishaji, makubaliano ya Huduma, na makubaliano ya ushiriki.
Mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani ni makubaliano ya muda mrefu kati ya wanunuzi na wauzaji ambayo ndiyo njia kuu ya kuuza gesi asilia na gesi asilia (LNG) kimataifa. Mikataba hii ni muhimu kwa kupata usambazaji thabiti wa gesi asilia na kupunguza tete ya bei.
Hapa ni baadhi ya vipengele muhimu vya mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani:
Muda: Kwa kawaida, mikataba ya muda mrefu ni miaka 20-25.
Ugawaji wa hatari: Muuzaji anachukua hatari ya bei, wakati mnunuzi anachukua hatari ya kiasi.
Masharti: Mikataba ni pamoja na vifungu vya ukaguzi wa bei, mabadiliko ya hatua ya utoaji, na kufutwa kwa malipo.
Kupungua kwa kaboni: Mikataba inazidi kuingiza mahitaji ya kupunguza uzalishaji wa kaboni.
Aina: Kuna aina mbili za mikataba ya kununua gesi asilia: imara na ya kukatiza.
Baadhi ya aina nyingine za mikataba katika sekta ya mafuta na gesi ni pamoja na: Makubaliano au leseni, mkataba wa kushiriki uzalishaji, makubaliano ya Huduma, na makubaliano ya ushiriki.
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Mkuu 'Mwamuzi' jambo unalo lizungumzia na maswali uliyo uliza ni ya msingi na muhimu sana; yanahitaji majibu.
Lakini naomba nikusihi. Kwanza elewa kuwa gesi ya Mtwara inazo sehemu mbili. Ile nyingi zaidi ni ile iliyopo kwenye kina kirefu cha maji, huko baharini - hii kwa kiasi chake ina utaratibu wake tofauti kidogo unaotakiwa kujibiwa maswali yake kama hayo uliyo uliza pembeni.
Halafu kuna hii gesi nyingine, huko huko Mtwara, ambayo ipo nchi kavu au baharini karibu kabisa na ufukweni. Mwanzo wa kujulikana kuwa tunayo gesi ni hii hii tuliyo anza na Songo songo. Utafiti ulifanyika juu ya gesi hii na ndiyo hii hii ya nchi kavu ndiyo tayari inayo vunwa na nyingine kusafirishwa kwa bomba hadi Dar es Salaam kwa ajili ya kuzalisha umeme na mambo mengine. Juzi juzi sehemu ya gesi hii iliyopo Ntorya wamepewa Oman kuishughulikia. Taarifa za utoaji huo haujulikani.
Kwa hiyo; binafsi nadhani ukitaka kujuwa vizuri hayo unayo yaulizia wewe ni muhimu ujue unazungumzia sehemu ipi hasa ya gesi kati ya hizi mbili.
Hiyo ya Baharini ndiyo nyingi, na ndiyo hasa yenye uhitaji mkubwa sana wa uwekezaji wa pesa. Sasa hivi makampuni yanayo husika yanadai ili mradi uweze kufanyika, inahitajika dola za Marekani Bilion 42 ili kuichimba hiyo gesi, kuisafirisha hadi Lindi, ambapo kutakuwa na shughuli za kuichakata, na hatimae kuisafirisha hadi kwenye masoko. Hii ni pesa ndefu sana. Mwanzo ilidaiwa dola bilioni 30; mara ghafla ikawa 42 bilioni ndani ya miaka michache tu ya mazungumzo ya kuichuma gesi hiyo kabla ya kuifikisha sokoni. Kuna konakona nyingi sana katika maswala haya ya makampuni kutaka kunufaika zaidi na raslimali toka nchi maskini kuliko manufaa yanayo patikana kwa nchi husika.
Kwa hiyo mkwamo upo hapa. Mazungumzo na serikali yanaendelea, na kusimama mara kwa mara kutokana na mivutano ya kutaka manufaa kwa pande husika. Sasa hivi kuna hofu kubwa, kwamba endapo Samia ataendelea hapo 2025, yupo tayari kabisa kubwaga manyanga kwa haya makampuni. Huyu hana kinacho muumiza sana kwa Tanganyika kunajisiwa.
Upande wa gesi ya kundi la pili, hiyo iliyopo nchi kavu, ambayo baadhi yake tayari ilisha anza kuvunwa toka enzi za Kikwete (bila shaka unalikumbuka lile bomba la gesi toka Mtwara hadi Dar, na ujio wa akina Sobngas, si unakumbuka?) Ujenzi wa bomba hilo ulifanywa na kamuni ya kiChina, na mizengwe yake ilikuweo. Gesi haijulikani waliuziwa akina nani, kwa sababu Magufuli alisema gesi siyo yetu tena!
Halafu hivi juzi juzi, Samia bila ya taarifa ya mipango iliyo kuwa inafanyika, tunaambiwa Gesi ya Ntorya wamekabidhiwa wajomba zake toka Oman. Haijulikani imekabidhiwa kwa masharti gani!
Mama baada ya ule mkasa wa DP World na IGA yake, aliamua na kujiachika kuwa 'Chura Kiziwi'. Hataki kusikia kelele tika kwa wenye mali wakihoji raslimali yao inavyo wanufaisha. Ni katika mwelekeo huo, sasa kaamua kuwa anafanya mambo yote gizani, kimya kimya. Hakuna wa kumhoji!
Kwa hiyo maswali yako hao juu, ni halali kabisa. Yanahitaji kujibiwa, ; lakini sidhani kuwa kuna mwenye majibu ya kujitosheleza kutokana na siri kubwa inayo ihusu miradi hii ya gesi.
Inafahamika duniani kote, kwamba serikali zinazo penda kufanya shughuli zake gizani, na kuficha taarifa wananchi wake wasijue manufaa ya shughuli inazo ingia serikali kwa niaba yao, serikali hizo zimejaa ufisadi mkubwa. Hakuna uwazi na utawala siyo wa haki.
Hali hiyo ndiyo tuliyo nayo sasa Tanzania, chini ya serikali ya CCM na rais Samia Suluhu.
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Hili ni jibu la kipumbavu.
Unategemea kila mwenye kutaka kufahamu taarifa juu ya jambo aende kwenye website? ya jambo analo taka kulifahamu?
Wewe unaye juwa yaliyoo huko kwenye TPDC kwa nini usiweke hayo unayo yajyua kwa mhtasari haa ili na yeye na wengine wayajue.
Huko kwenye wbsite ya TPDF nako kuna taarifa za mikataba iliyo ingiwa na serikali, kama ina manufaa kwa nchi?
Kwa hiyo, kwa kuwa kuna taarifa kwenye website, haya maswala yasijadiliwe na kujua uungufu wa taarifa hizo zilizoko huko TPDC?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.