Hatuna viongozi wazalendo wa kujali Taifa kwanza kabla ta kujali matumbo yao na familia zao. Na hii ndio tabia halisi ya mtu mweusi(muafrika). Mimi naamini hata ikifika mwaka 4000 tukawa bado maskini kwa hizi akili zetu.Kwanini Nchi kama Qatar πΆπ¦ ni tajiri kweli kweli kwa sababu ya Gesi tu ???
Why not us too ???!!!!
Umeamua kusema hovyo kwerikweri πππππRidhiwan anajua vizuri. Nashangaa hajawahi hata kwenda kuwashukuru wananchi wa Mtwara. Gesi ni mkombozi wa maisha ya vigogo. Nyie kajamba nani endeleeni kutwishwa ndoo ya maji na maji yenyewe hakuna.
Sasa hivi imani inanitoka kabisa kuhusu matendo serikali inatufanyia. Gesi ya Mtwara hisia zangu ilishapigwa mnada. Kuna mwana JF aliwahi kuandika andiko lake akasema kuna Melissa zinaenda kuchota na kuondoka. Tujiulize zinaondoka kwenda wapi? Sisi wananchi wanyonge kweli tunanyongwa sana.
1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Awamu ya kikwete alitufanyia kitu mbaya kabisa!. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
"Shujaa" alishaujuza umma kuwa Ile gesi si ya kwetu Tena. Akakazia zaidi kuwa Kuna wastaafu wanawashwa washwa.1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Ajabu saa hizi wanahamisisha matumuzi nchi nzima ya gesi ya LPG inayoletwa na makampuni ya wahindi. Yaani kama una akili ya kutosha mwananchi unaona kabisa ile gesi ya NPG inayozalishwa tanzania kama vile ni biashara ya watu wenye malengo tofauti kabisa na kusuluhisha mambo ya maendeleo ya watanzania. Inaelekea wale wamiliki halisi wa gesi ya Tanzania mpango wao ni kuiuza nje na wale wafanyabiashara wahindi wa nchini wao lengo lao kuongeza mauzo yao ya gesi ya LPG kutoka nje wakisaidiwa na serikali kutumia mkakati wa kudhibiti mazingira. Yaani nchi hii ina maajabu na kwa mtindo huu wa kuongozwa na maslahi ya wageni hatutaweza kuendeleza nchi na watu wetu.1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Sasa hapo kuna shida gani mkuu?Ajabu saa hizi wanahamisisha matumuzi nchi nzima ya gesi ya LPG inayoletwa na makampuni ya wahindi. Yaani kama una akili ya kutosha mwananchi unaona kabisa ile gesi ya NPG inayozalishwa tanzania kama vile ni biashara ya watu wenye malengo tofauti kabisa na kusuluhisha mambo ya maendeleo ya watanzania. Inaelekea wale wamiliki halisi wa gesi ya Tanzania mpango wao ni kuiuza nje na wale wafanyabiashara wahindi wa nchini wao lengo lao kuongeza mauzo yao ya gesi ya LPG kutoka nje wakisaidiwa na serikali kutumia mkakati wa kudhibiti mazingira. Yaani nchi hii ina maajabu na kwa mtindo huu wa kuongozwa na maslahi ya wageni hatutaweza kuendeleza nchi na watu wetu.
Hoja nzuri na maswali mazuri,uzalendo unahujumiwa na waliokwisha onja asali,wapo tayari kuvuji buyu la asali hata na mizinga yote.Ili ailambe asali peke yake.Kuondoa jukumu mama la utunzi wa sheria wezeshi kulamba asali,hapo patachimbika,kuundwa tume/taasisi ya kutunga sheria kwa nchi ya giza /bara la giza patachimbika.Hapo kuhusu uzalendo watahubiriwa wasiofikia buyu la asali ila kwa walamba asali wanakinga dhidi ya uzalendo.1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
1) Gesi kumilikiwa na serikali huu ni UONGO1. Naomba nianze kwa kukufahamisha mmiliki wa Gesi ya Mtwara.
Gesi asilia ya Mtwara inamilikiwa na serikali ya Tanzania. Serikali imeingia mikataba ya Ubia wa Uzalishaji (Production Sharing Agreements - PSA) na wawekezaji mbalimbali. Katika mfumo huu wa PSA, mwekezaji anatoa mtaji na utaalamu kwa ajili ya uchimbaji na usindikaji wa gesi, kisha mapato yanagawanywa kati ya serikali na mwekezaji kulingana na makubaliano yaliyowekwa.
2. Serikali hupata mapato kupitia kodi, mrahaba, na sehemu ya mapato kutokana na gesi inayozalishwa chini ya mikataba ya PSA. Hii ina maana kwamba serikali inapata faida endelevu kulingana na kiwango cha uzalishaji na bei ya gesi katika soko la kimataifa, badala ya kulipwa kwa mauziano ya moja kwa moja.
3. Serikali imeamua kuwa na mchanganyiko wa vyanzo vya nishati ili kuhakikisha upatikanaji wa umeme wa uhakika na wa gharama nafuu. Ingawa gesi asilia ilionekana kama suluhisho kwa tatizo la kukatika kwa umeme, uwekezaji katika Mradi wa Bwawa la Nyerere ni juhudi za kuongeza uzalishaji wa umeme kupitia vyanzo vya maji. Hii inasaidia kupunguza utegemezi kwa chanzo kimoja cha nishati na kuongeza uhakika wa upatikanaji wa umeme kwa muda mrefu.
4. Taarifa kuhusu faida na maendeleo ya miradi ya gesi zinaweza kupatikana kwenye tovuti za taasisi za serikali kama Mamlaka ya Udhibiti wa Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC). Hapa, ripoti za mapato, uwekezaji, na mchango wa gesi katika uchumi wa nchi zinawekwa wazi kwa umma.
5. Gesi ya kupikia nchini Tanzania kwa kiasi kikubwa ni LPG (Liquefied Petroleum Gas), ambayo inaagizwa kutoka nje ya nchi. Makampuni kama Oryx Gas, Total Gas, Taifa Gas, Puma Gas, na mengine husambaza LPG hiyo nchini. Gharama za uagizaji, usafirishaji, na kodi huchangia kufanya bei ya gesi hiyo kuwa juu kwa watumiaji. Unaweza kununua gesi hii kupitia wauzaji rasmi au mtandaoni kupitia tovuti kama:
Kwa upande wa gesi asilia ya Mtwara, hii ni gesi inayosambazwa kupitia mabomba yaani Piped Natural Gas (PNG )na inasimamiwa na TPDC. Ili kuitumia nyumbani kwako, unahitaji kuwasiliana na TPDC ili waunganishie bomba la gesi hadi nyumbani kwako.
View attachment 3149313
Hii inaweza kuwa changamoto kwa baadhi ya maeneo ambako miundombinu ya mabomba haijafika bado.
Hivyo ndugu yangu kuhusu swali lako la mwisho, ni muhimu kutambua kwamba Bunge ni mhimili muhimu katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia kwa ajili ya uwakilishi wa wananchi na utungaji wa sheria. Changamoto katika mikataba na usimamizi wa rasilimali zinaweza kutatuliwa kwa kuimarisha mifumo ya uwajibikaji, uwazi, na ushirikishwaji wa wananchi katika maamuzi muhimu. Kuondoa Bunge si suluhisho; badala yake, tunahitaji kuhimiza uzalendo, uwajibikaji, na uadilifu miongoni mwa viongozi wetu. Kwa kufanya hivyo, tutaweza kuhakikisha kwamba rasilimali za taifa zinawanufaisha Watanzania wote kwa sasa na kwa vizazi vijavyo.
Yote uliyoandika ni rubish kwa sababu hayajatoa majibu ya swali la mtoa mada: je gesi ya Mtwara ni mali ya nani?Muhtasari wa AI
Mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani ni makubaliano ya muda mrefu kati ya wanunuzi na wauzaji ambayo ndiyo njia kuu ya kuuza gesi asilia na gesi asilia (LNG) kimataifa. Mikataba hii ni muhimu kwa kupata usambazaji thabiti wa gesi asilia na kupunguza tete ya bei.
Hapa ni baadhi ya vipengele muhimu vya mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani:
Baadhi ya aina nyingine za mikataba katika sekta ya mafuta na gesi ni pamoja na: Makubaliano au leseni, mkataba wa kushiriki uzalishaji, makubaliano ya Huduma, na makubaliano ya ushiriki.
- Muda: Kwa kawaida, mikataba ya muda mrefu ni miaka 20-25.
Ugawaji wa hatari: Muuzaji anachukua hatari ya bei, wakati mnunuzi anachukua hatari ya kiasi.
- Masharti: Mikataba ni pamoja na vifungu vya ukaguzi wa bei, mabadiliko ya hatua ya utoaji, na kufutwa kwa malipo.
- Kupungua kwa kaboni: Mikataba inazidi kuingiza mahitaji ya kupunguza uzalishaji wa kaboni.
- Aina: Kuna aina mbili za mikataba ya kununua gesi asilia: imara na ya kukatiza.
Jibu: Naomba majibu ya maswali haya kuhusu gesi ya MtwaraYote uliyoandika ni rubish kwa sababu hayajatoa majibu ya swali la mtoa mada: je gesi ya Mtwara ni mali ya nani?
Jibu: Naomba majibu ya maswali haya kuhusu gesi ya MtwaraMuhtasari wa AI
Mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani ni makubaliano ya muda mrefu kati ya wanunuzi na wauzaji ambayo ndiyo njia kuu ya kuuza gesi asilia na gesi asilia (LNG) kimataifa. Mikataba hii ni muhimu kwa kupata usambazaji thabiti wa gesi asilia na kupunguza tete ya bei.
Hapa ni baadhi ya vipengele muhimu vya mikataba ya uzalishaji wa gesi asilia duniani:
Baadhi ya aina nyingine za mikataba katika sekta ya mafuta na gesi ni pamoja na: Makubaliano au leseni, mkataba wa kushiriki uzalishaji, makubaliano ya Huduma, na makubaliano ya ushiriki.
- Muda: Kwa kawaida, mikataba ya muda mrefu ni miaka 20-25.
Ugawaji wa hatari: Muuzaji anachukua hatari ya bei, wakati mnunuzi anachukua hatari ya kiasi.
- Masharti: Mikataba ni pamoja na vifungu vya ukaguzi wa bei, mabadiliko ya hatua ya utoaji, na kufutwa kwa malipo.
- Kupungua kwa kaboni: Mikataba inazidi kuingiza mahitaji ya kupunguza uzalishaji wa kaboni.
- Aina: Kuna aina mbili za mikataba ya kununua gesi asilia: imara na ya kukatiza.
Ina maana Mwamba aliposema kwenye Gesi tumepigwa alikuwa hajui kinachoendelea ???!!!Sasa hapo kuna shida gani mkuu?
Hayo ni mambo ya mikatabaI
Ina maana Mwamba aliposema kwenye Gesi tumepigwa alikuwa hajui kinachoendelea ???!!!
Itakuwa ni maajabu kama alikuwa haujui Ukweli ilihali yupo Jumba Jeupe π€£ππ !
Mkuu 'Mwamuzi' jambo unalo lizungumzia na maswali uliyo uliza ni ya msingi na muhimu sana; yanahitaji majibu.1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Subiri Zanzibar wakiapata gesi yao au mafuta. Tutaanza kuwa tuna watazama wao kama mfano wa kuigwa .JIBU NI MOJA TU!
WAAFRIKA WANA LAANA YA MILELE
Mbona Magufuli alishasema gesi hyo tumeshapigwa sio ya kwetu.1. Nani mmiliki halali wa gesi ile ya Mtwara?
2. Serikali inalipwa in terms of kodi au ilishalipwa kwa mauziano ya moja kwa moja, au mwekezaji kawa mmiliki mpangaji kwamba serikali itakabidhiwa mradi baada ya muda wa makubaliano kuisha?
3. Wakati mshikemshike ikitokea Mtwara na Lindi tulisomewa umuhimu wa ile gesi kwenye sekta ya umeme kwamba ni mwarobaini wa kukatikakatika umeme Tanzania, miaka michache baadaye tukapelekwa kwenye mradi wa bwawa la Nyerere. Vipi serikali ime prove kuwa ilikuwa wrong au nini kilitokea kati?
4. Ni website gani ya serikali imeweka bayana faida tunazopata kwenye ule mradi wa gesi?
5. Kwanini gesi ya kupikia bado ni ghari Tanzania?
Kwanini serikali isijenge kiwanda cha kusafisha gesi kwaajili ya matumizi ya nyumbani? Au kwanini kwenye mkataba mwekezaji hakuambiwa ajenge kiwanda cha namna hii?
Kama ile gesi tumedhulumiwa na wageni huku wabunge tuliowachagua ndio walikuwa wapitishaji wa ule mkataba je, kuna haja ya kuwa na Bunge?
Iundwe tu taasisi ya kutunga sera na Sheria yenye watumishi wachache wasomi ku replace wabunge wanaogharibu trillions za pesa za Kitanzania.
Uzalendo uanze kwa viongozi wananchi na watumishi wa chini titaiga
Hili ni jibu la kipumbavu.Usilazimishe mambo, majibu yake yote unaweza kuyapata kwenye website ya TPDC. Siyo kila kitu utahutubiwa.