Naomba majibu ya maswali haya kuhusu gesi ya Mtwara

AI haijawahi kumuacha mtu salama
 
Amekwambia hawezi kwenda page ya TPDC?
Amekwambia anataka mjadala? Mwache akasome Kwanza halafu ndiyo ujue.

Halafu hiyo ni njia rahisi na pia ni first hand info siyo ku pitia kwa mtu.

Sentensi ya mwisho nilitaka niandike kejeli ila bora niache.
 
Sentensi ya mwisho nilitaka niandike kejeli ila bora niache.
Ni bora umeacha, kwa sababu ninakufahamu toka muda mrefu sana humu JF. Ndiyo maana nilikuandikia kama nilivyo fanya hapo, nikisubiri hizo kejeli ili tuendelee na yale yale ya siku zote!
Una 'attitude' ya kipuuzi sana.
 
Hapo mwenye attitude ya kipuuzi ni nani?
Posts zote mbili umetukana na bado unajiona una heshima?
 
Hapo mwenye attitude ya kipuuzi ni nani?
Posts zote mbili umetukana na bado unajiona una heshima?
"Heshima" hupewa anaye istahili. Wewe hukuistahili kwa hayo niliyo ku'quote' na kwa kujua historia yako kuwa hustahili heshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…