Naomba majibu ya maswali haya

Naomba majibu ya maswali haya

Lanlady

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2019
Posts
1,836
Reaction score
6,303
Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔

Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na mfumko wa bei ulidhibitiwa, je kwa sasa ambapo nchi imefunguliwa kwanini watu wakatwe kodi na tozo kwa wakati mmoja na kwa kipato hicho hicho?

Qn3 (litategemea majibu ya qn 1)
 
Naomba nikujibu ifuatavyo

1. Miradi yote awamu hii na ya 5 inaendeshwa kwa mikopo. Hakuna miradi mikubwa inayoendrshwa kwa tozo au kodi

2. Inawezekana kodi na tozo vinakatwa Sana ili ku service mikopo tuliyoingia awamu iliyopita. Na kwa taarifa yako usitegemee nafuu yoyote kwa miaka ijayo maana hata awamu hii inakopa Sana na tutalazimika kukamuliwa zaidi na zaidi kulipa madeni siku zinavyokwenda.
 
Kwa mantiki hii ni kwamba, hakuna miradi ya kitaifa inayosaidia kuongeza pato la taifa? Ni miradi inayozalisha faida kwa taifa?

Nauliza swali hili kutokana na utata uliopo kuhusu miradi ambayo inamilikiwa na nchi kwa %100.
Miradi mingi ni kama serikali imeingia ubia na wanaoitwa 'wawekezaji'
 
Back
Top Bottom