Kwa mantiki hii ni kwamba, hakuna miradi ya kitaifa inayosaidia kuongeza pato la taifa? Ni miradi inayozalisha faida kwa taifa?Naomba nikujibu ifuatavyo
1. Miradi yote awamu hii na ya 5 inaendeshwa kwa mikopo. Hakuna miradi mikubwa inayoendrshwa kwa tozo au kodi
2. Inawezekana kodi na tozo vinakatwa Sana ili ku service mikopo tuliyoingia awamu iliyopita. Na kwa taarifa yako usitegemee nafuu yoyote kwa miaka ijayo maana hata awamu hii inakopa Sana na tutalazimika kukamuliwa zaidi na zaidi kulipa madeni siku zinavyokwenda.