jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwa faida zaidi uwe na point yako ya kuuzia kwa mlaji wa mwisho.Kwa hyo ni bora kuchukua nafaka mkoani na kupeleka dar kuuza kwa jumla na siyo kufungua duka la nafaka
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa faida zaidi uwe na point yako ya kuuzia kwa mlaji wa mwisho.Kwa hyo ni bora kuchukua nafaka mkoani na kupeleka dar kuuza kwa jumla na siyo kufungua duka la nafaka
Hmmh hivi hapo kahama hakuna mzunguko wa hela mpaka uifikirie Dar?Kwa sasa niko kahama
Jf ina watu yenyewe ndio kama hawaMimi ni mzoefu wa nafaka na ninafanya biashara hii nipo mwananyamala.... kiufupi pesa yako ni ndogo bado ungekuwa na angalau milioni 20...
kodi frem laki 3 kwa mwezi,, mwaka ni milion 3.6.... leseni laki 2,, Tra laki 5.... mapareti pamoja na kibanda cha cashier laki 5... mzani laki 6 jumla 5,400,000 ukitoa milion 9 zako unabakia na milion 3 na laki 6 huwezi kununua nafaka kwa hela hiyo labda kwa mali kauli sio cash
fanya uongeze pesa angalau milion 20.
Dsm ndio center ya bishara kwa tz.Hmmh hivi hapo kahama hakuna mzunguko wa hela mpaka uifikirie Dar?
Kwa staili hii watu hawawezi fanya biashara ya nafaka..acha kumtisha hiyo hela inatosha sana kwa biashara ya nafaka.Mimi ni mzoefu wa nafaka na ninafanya biashara hii nipo mwananyamala.... kiufupi pesa yako ni ndogo bado ungekuwa na angalau milioni 20...
kodi frem laki 3 kwa mwezi,, mwaka ni milion 3.6.... leseni laki 2,, Tra laki 5.... mapareti pamoja na kibanda cha cashier laki 5... mzani laki 6 jumla 5,400,000 ukitoa milion 9 zako unabakia na milion 3 na laki 6 huwezi kununua nafaka kwa hela hiyo labda kwa mali kauli sio cash
fanya uongeze pesa angalau milion 20.
Kanitisha hata Mimi wakati nasikia ukiwa na hata 1m tayari unaanza business.Kwa staili hii watu hawawezi fanya biashara ya nafaka..acha kumtisha hiyo hela inatosha sana kwa biashara ya nafaka.
#MaendeleoHayanaChama
Komàa hapo hapo kahama unatokaKwa sasa niko kahama
usiwe mwoga huo ni mtaj wa kukuingizia ml1 had 1.5ml inategemea unafqnyia wapWadau ninamtaji wa mil 9 ambazo nimezipata kwenye uchimbaji wa dhahabu. Ila nahofia kizirudisha kwenye uchimbaji maana ni kazi ya bahati.
Natamani sana kufanya biashara ya nafaka dar, ila sina uzoefu. na yalikuwa matamanio yangu ya mda mrefu kufanya hii biashara.
Tadhari mwenye uzoefu anisaidie.
Hao wa mali kauli wana vigezo gani na wanaweza kukupa mzigo hadi wa kiasi ganiMimi ni mzoefu wa nafaka na ninafanya biashara hii nipo mwananyamala.... kiufupi pesa yako ni ndogo bado ungekuwa na angalau milioni 20...
kodi frem laki 3 kwa mwezi,, mwaka ni milion 3.6.... leseni laki 2,, Tra laki 5.... mapareti pamoja na kibanda cha cashier laki 5... mzani laki 6 jumla 5,400,000 ukitoa milion 9 zako unabakia na milion 3 na laki 6 huwezi kununua nafaka kwa hela hiyo labda kwa mali kauli sio cash
fanya uongeze pesa angalau milion 20.
Uber si wameondoka bongo? Bolt nao nasikia wapo mbioni kuondoka pia.
Muhimu ni Concept (Transport as a Service)
Kibanda cha cashier cha nini ukifungua sokoni kuuzia mlaji wa mwishoMimi ni mzoefu wa nafaka na ninafanya biashara hii nipo mwananyamala.... kiufupi pesa yako ni ndogo bado ungekuwa na angalau milioni 20...
kodi frem laki 3 kwa mwezi,, mwaka ni milion 3.6.... leseni laki 2,, Tra laki 5.... mapareti pamoja na kibanda cha cashier laki 5... mzani laki 6 jumla 5,400,000 ukitoa milion 9 zako unabakia na milion 3 na laki 6 huwezi kununua nafaka kwa hela hiyo labda kwa mali kauli sio cash
fanya uongeze pesa angalau milion 20.
sasa hela unataka uweke wapi na madaftari yako ya hesabu??? lazima uwe na kiofis kidogo kwenye frem yako!!Kibanda cha cashier cha nini ukifungua sokoni kuuzia mlaji wa mwisho
Kwani analazimika kulipia fremu kwa mwaka hiyo Tra kulipa laki 5 za kazi gan kodi baada ya makadilio kwa mwaka? Maana kwa uelewa wangu ufanyae biashara ndo mwenye uwezo wa kujikadilia mwenyewe kwann uweke makadilio makubwa wakati ndo kwanza unaanza hiyo biashara mfano unaweza kuweka makadilio ya kulipa laki 3 kwa mwaka yaani 75,000/- kila baada ya miezi 3 halaf sio lazima ulipe yote kwa mkupuo mmoja unao uwezo wa kulipa hiyo 75,000 kila baada ya miezi 3. Kwa mtaji wake wa milioni 9 hakika anaweza fanya ulivyoanza wewe sio lazima kila mtu aanza hivyo biashara ni uvumilivu, kujituma, nidhamu, kauli n.k.Mimi ni mzoefu wa nafaka na ninafanya biashara hii nipo mwananyamala.... kiufupi pesa yako ni ndogo bado ungekuwa na angalau milioni 20...
kodi frem laki 3 kwa mwezi,, mwaka ni milion 3.6.... leseni laki 2,, Tra laki 5.... mapareti pamoja na kibanda cha cashier laki 5... mzani laki 6 jumla 5,400,000 ukitoa milion 9 zako unabakia na milion 3 na laki 6 huwezi kununua nafaka kwa hela hiyo labda kwa mali kauli sio cash
fanya uongeze pesa angalau milion 20.
Kaka tulisoma wote Cuba [emoji1083] eeh...! ? Maana hiz nondo ni zile zile tulizo jibia kwenye UE[emoji23][emoji23][emoji23]Nafaka ni biashara pasua kichwa….faida ndogo + slow turnovers ukicheck una gharama za pango, kulipa mfanya kazi, na gharama za kusafirisha. Kama unataka unataka kufanya biashara ya chakula fungua genge….hela ipo kwenye genge.
Sokoni vitu bei chee ukija ushuani au sehem za makazi unauza hata double the price (fatilia utanikumbuka yet mtaji wake mdogo tu i.e. pango ya frame au kutengeneza banda)
Kikubwa anza kdgo kdgo usiweke mzigo mkubwa wa kuharibika na kama ukiweka mzigo mkubwa uza very fair prices ili uwahi maliza kesho ulete stock mpya na ku attract wateja kuwa mbunifu tu na genge lako lionekane la kishua / lenye utofauti.
Nafaka for me is a No, Duka La Mangi nalo No, Kama hutaki kuchafuka nunua gari used fanya uber na ukomae mwenyewe.
Kwenye kutafuta mshipa wa noma weka pembeni kabisa maana aibu ya umasikini na fedheha ni kubwa sana kuliko aibu ya kutafuta.
Mtazamo Wangu Tu. Ahsante
Kaka tulisoma wote Cuba [emoji1083] eeh...! ? Maana hiz nondo ni zile zile tulizo jibia kwenye UE[emoji23][emoji23][emoji23]
To each their own ila biashara za magari ni pasua kichwa vibaya mno.