E E Seven Member Joined Apr 7, 2023 Posts 8 Reaction score 15 Mar 23, 2025 #1 Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
Habari wadau wote wa jamii forum, naomba kufahamu kuhusu utendaji kazi wa simu ya M Horse S24 katika mtandao na katika kufanya kazi ukifungua app zaidi ya tatu kwa wakati mmoja na maoni mengine.
H Hassanjk JF-Expert Member Joined Feb 24, 2023 Posts 559 Reaction score 1,039 Mar 23, 2025 #2 Hao ni wale wana copy Samsung & Iphone nafikiri ununue Tecno au Itel tunazo zifaham vizuri
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Mar 23, 2025 #3 Mwaka jana kuna jamaa alikua akitangaza anaziuza kwa Tsh 250000😊
I implicit memory JF-Expert Member Joined Nov 14, 2024 Posts 2,109 Reaction score 2,157 Mar 23, 2025 #4 Shing Yui said: Mwaka jana kuna jamaa alikua akitangaza anaziuza kwa Tsh 250000😊View attachment 3280361View attachment 3280362 Click to expand... Twambieni basi sifa zake na yatoka nchi gani?
Shing Yui said: Mwaka jana kuna jamaa alikua akitangaza anaziuza kwa Tsh 250000😊View attachment 3280361View attachment 3280362 Click to expand... Twambieni basi sifa zake na yatoka nchi gani?
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 5,203 Reaction score 13,364 Mar 23, 2025 #5 Bado hatujamalizana na Infinix tunakutana na M horse haya
R Risen man JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 20,205 Reaction score 54,699 Mar 23, 2025 #6 implicit memory said: Twambieni basi sifa zake na yatoka nchi gani? Click to expand... Si ukagugo mkuu?
implicit memory said: Twambieni basi sifa zake na yatoka nchi gani? Click to expand... Si ukagugo mkuu?