Naomba mawasiliano ya Tegeta Na Ocean Secondary

Naomba mawasiliano ya Tegeta Na Ocean Secondary

cha ukweli

Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
67
Reaction score
5
Habari zenu wakuu wa jf natumaini muwazima wa afya,,, Ombi langu kwenu ni kwa anayefahamu mawasiliano ya shule ya secondary ya Tegeta iliyopo dar es salaam na ile ya Ocean iliyopo mtwara au kama kunaanaye fahamu ada za hizo shule naomba anijuze,,, Ahsanteni
 
Back
Top Bottom