cha ukweli
Member
- Aug 18, 2014
- 67
- 5
Habari zenu wakuu wa jf natumaini muwazima wa afya,,, Ombi langu kwenu ni kwa anayefahamu mawasiliano ya shule ya secondary ya Tegeta iliyopo dar es salaam na ile ya Ocean iliyopo mtwara au kama kunaanaye fahamu ada za hizo shule naomba anijuze,,, Ahsanteni