Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.
Wadada kwa wakaka hem naombeni mawazo hii kitu yawezakua nini?
Eti kwa woga woga wake anaona huenda ikawa mis-carriage fulani hivi!!!! Ni kweli yawezatokea hivi????
Nipeni mawazo yenu nitashkur

Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.
Unajua maana ya neno mis-carriage?
Naona kama maelezo yako yanajichanganya kidogo maana terminology uliyoitumia na timeframe ya bleed naona ni mkorogano tu.
Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.
Watu wanapoleta maswali humu jamvini wataka kupewa msaada,na si majibu ya dharau..ndiyo maana ya kuwa members,tunabadilishana uelewa wetu na uwezo wetu..mwenzako anashida anapewa ushauri kesho unaleta wewe..unapewa ushauri maisha yanendelea.kwa majibu yenu ya hovyo JF inapoteza mvuto na watu we hekima tutawakosa humu maana wataona si sehemu ya maana.
Definition of Perryper·ry /ˈperi/ nounMambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.
Usiwe na shaka, huwa inatokea kama ana stress ama amebadili hali ya hewa. Kama ni mara ya kwanza achana nayo. Ila ikiendelea basi huenda akahitaji kuonwa na dr wa wanawake. Lakini akipitisha siku 7 zaidi kwenye mzunguko wake basi huenda akawa na mimba. Tahadhari, hiyo mimba msiisubirie kama mwezi muandamo. Mtapata stress na kuharibu mambo. Furahia tundi kwanza, mengine malaaliwa ya Mwenyezi Mungu.
umefanya vizur kuuliza, mana mjinga ni yule akaaye kimya, tena haswa kwenye suala kama hili la ugonjwa...na mjinga zaidi ni yule akutukanaye pale unapojaribu kupata ufumbuzi wa suala ulilouliza....Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.
Wadada kwa wakaka hem naombeni mawazo hii kitu yawezakua nini?
Eti kwa woga woga wake anaona huenda ikawa mis-carriage fulani hivi!!!! Ni kweli yawezatokea hivi????
Nipeni mawazo yenu nitashkur
ila inakupasa kuwa mpole na kupunguza matusi, watu wakikujibu vibaya huna budi kuwapuuzia, ukijibu matusi unajipunguzia heshima, hususan kwa wewe mtu ambaye umeoa na unategemewa.....53 I am maza*&^$$%! Pfuuuuu!
umefanya vizur kuuliza, mana mjinga ni yule akaaye kimya, tena haswa kwenye suala kama hili la ugonjwa...na mjinga zaidi ni yule akutukanaye pale unapojaribu kupata ufumbuzi wa suala ulilouliza....
ila inakupasa kuwa mpole na kupunguza matusi, watu wakikujibu vibaya huna budi kuwapuuzia, ukijibu matusi unajipunguzia heshima, hususan kwa wewe mtu ambaye umeoa na unategemewa.....
sasa nikija kwenye suala lako la msingi, nakuomba kakangu, uendelee kumfuatilia kwa karibu mkeo kwa kipindi cha wiki moja, muulize endapo anasikia maumivu katika tumbo lake la uzazi, endapo ana homa za mara kwa mara, endapo anapoteza nguvu na mara nyingi anajisikia mwenye uchovu, endapo ana hizo dalili zote na bado anatoka damu kidogo sehemu ya ukeni, wahi hospitali haraka sana...tena namaanisha haraka sana.....ila ukiona siku 7 zijazo hali yale inaendelea kuwa nzuri na kawaida, basi unaweza relax...for more advice, unaweza ukanitumia message via pm