Naomba mawazo yenu kuhusu my wife wangu!

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.

Wadada kwa wakaka hem naombeni mawazo hii kitu yawezakua nini?
Eti kwa woga woga wake anaona huenda ikawa mis-carriage fulani hivi!!!! Ni kweli yawezatokea hivi????

Nipeni mawazo yenu nitashkur
 
Unajua maana ya neno mis-carriage?
Naona kama maelezo yako yanajichanganya kidogo maana terminology uliyoitumia na timeframe ya bleed naona ni mkorogano tu.

Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.
 
Kama rais wako huwa anajichanganya ndivyo hivyo hivyo na hedhi huwa inajichanganya so stay calm.
 
Usiwe na shaka, huwa inatokea kama ana stress ama amebadili hali ya hewa. Kama ni mara ya kwanza achana nayo. Ila ikiendelea basi huenda akahitaji kuonwa na dr wa wanawake. Lakini akipitisha siku 7 zaidi kwenye mzunguko wake basi huenda akawa na mimba. Tahadhari, hiyo mimba msiisubirie kama mwezi muandamo. Mtapata stress na kuharibu mambo. Furahia tundi kwanza, mengine malaaliwa ya Mwenyezi Mungu.
 
Watu wanapoleta maswali humu jamvini wataka kupewa msaada,na si majibu ya dharau..ndiyo maana ya kuwa members,tunabadilishana uelewa wetu na uwezo wetu..mwenzako anashida anapewa ushauri kesho unaleta wewe..unapewa ushauri maisha yanendelea.kwa majibu yenu ya hovyo JF inapoteza mvuto na watu we hekima tutawakosa humu maana wataona si sehemu ya maana.
 
Kama ni vipande vikubwa na bleed ilikuwa heavy kuliko kawaida then itakua vizuri ukampeleka hospital ili kupata uhakika wa mambo
Inaweza ikawa lolote kati ya miscarriage,nothing,pregnant etc
 
Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.

Kama ungekuwa umesoma uzi wa kwanza kabisa ktk hili jukwaa la kitabibu usingekuja na majibu yako maana ungejua maana ya elimu tiba na namna gani mtu anapaswa kjieleza kwa daktari. pia kumbuka hili ni jukwaa la kitabibu hivyo kama hujui elimu ya kitabibu hata kwa uchache ni bora kukaa kimya na kuwaacha wanaojua na wenye nia ya kutoa ushauri. kumbuka JF ni kwa kila kitu kama hapa sio mahali pako unaweza hata kwenda kwenye jukwaa la jokes kujifurahisha.
 
Unajua maana ya neno mis-carriage?
Naona kama maelezo yako yanajichanganya kidogo maana terminology uliyoitumia na timeframe ya bleed naona ni mkorogano tu.

Hilo la mis-carriage ni wasiwasi wake. Elewa hivyo yawezekana hajui anachokiaongea muhusika. Wewe una mawazo gani katika hii issue?
 
Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.

53 I am maza*&^$$%! Pfuuuuu!
 
Kama ni vipande vikubwa na bleed ilikuwa heavy kuliko kawaida then itakua vizuri ukampeleka hospital ili kupata uhakika wa mambo
Inaweza ikawa lolote kati ya miscarriage,nothing,pregnant etc

Noted with thanks
 
Watu wanapoleta maswali humu jamvini wataka kupewa msaada,na si majibu ya dharau..ndiyo maana ya kuwa members,tunabadilishana uelewa wetu na uwezo wetu..mwenzako anashida anapewa ushauri kesho unaleta wewe..unapewa ushauri maisha yanendelea.kwa majibu yenu ya hovyo JF inapoteza mvuto na watu we hekima tutawakosa humu maana wataona si sehemu ya maana.

avatar27237_3.gif
 
Mambo ya siri za mkeo unaleta huku jf kweli,how old are you?nyie ndio wale mnaokimbilia kuoa wakati akili zenu bado hazijapevuka..si ajabu na siku mkeo akinyoa nywele za huko chini ikatokea akatokwa na vipele utakuja kuuliza humu jf.
Definition of Perryper·ry /ˈperi/ noun

plural per·ries
[count, noncount] Brit : an alcoholic drink made from pears

source: http://www.learnersdictionary.com/search/perry
 
Kaonane na madaktari bigwa wa akina mama watakupa majibu sahihi kwa mtazamo wangu mkuu!
 
kuna baadhi ya wanawake huwa ni dalili ya kuwa mimba imetunga. hesabu kuanzia alipoanza bleed, na sio alipomalizia.

Ali-bleed tarehe 19, 20 na 21 april. Hiyo mambo imetokea tarehe 28 april
 
Usiwe na shaka, huwa inatokea kama ana stress ama amebadili hali ya hewa. Kama ni mara ya kwanza achana nayo. Ila ikiendelea basi huenda akahitaji kuonwa na dr wa wanawake. Lakini akipitisha siku 7 zaidi kwenye mzunguko wake basi huenda akawa na mimba. Tahadhari, hiyo mimba msiisubirie kama mwezi muandamo. Mtapata stress na kuharibu mambo. Furahia tundi kwanza, mengine malaaliwa ya Mwenyezi Mungu.

Ok ok!
 
Amemaliza ku-bleed kam wiki imepita. Katika kujicheki chini huko leo ameona kama vijipandevipande vya damu vimemtoka huko kunako. Ila ni kidogo sio ile saaana.

Wadada kwa wakaka hem naombeni mawazo hii kitu yawezakua nini?
Eti kwa woga woga wake anaona huenda ikawa mis-carriage fulani hivi!!!! Ni kweli yawezatokea hivi????

Nipeni mawazo yenu nitashkur
umefanya vizur kuuliza, mana mjinga ni yule akaaye kimya, tena haswa kwenye suala kama hili la ugonjwa...na mjinga zaidi ni yule akutukanaye pale unapojaribu kupata ufumbuzi wa suala ulilouliza....

53 I am maza*&^$$%! Pfuuuuu!
ila inakupasa kuwa mpole na kupunguza matusi, watu wakikujibu vibaya huna budi kuwapuuzia, ukijibu matusi unajipunguzia heshima, hususan kwa wewe mtu ambaye umeoa na unategemewa.....

sasa nikija kwenye suala lako la msingi, nakuomba kakangu, uendelee kumfuatilia kwa karibu mkeo kwa kipindi cha wiki moja, muulize endapo anasikia maumivu katika tumbo lake la uzazi, endapo ana homa za mara kwa mara, endapo anapoteza nguvu na mara nyingi anajisikia mwenye uchovu, endapo ana hizo dalili zote na bado anatoka damu kidogo sehemu ya ukeni, wahi hospitali haraka sana...tena namaanisha haraka sana.....ila ukiona siku 7 zijazo hali yale inaendelea kuwa nzuri na kawaida, basi unaweza relax...for more advice, unaweza ukanitumia message via pm
 
Asante, naanza ku-count siku. Will pm u! Thanx mara ingine tena
 
Back
Top Bottom