Miaka kama Saba pengine iliyopita walikua na huo upumbavu wao, tulipelekana hadi TCRA sema basi Tu unajua tena mnyonge huna Haki, ila ukweli niliwashinda eti TCRA wakaamuru nilipwe laki kadhaa na kila upande ugharamie gharama za kesi........kifurishi hawajanionganishia kila ukipiga cm majibu yao ni mtandao haujaa kaa sawa ili kudhihirisha wana huu wizi hua wanakataa cm ukiwabana sana maana hawana majibu .
Je kwa hali hii hua mnatumia mbinu gani kwa watumiaji wenzangu wa huu mtandao
Sasa bora yako wewe wanachonifanyia mimi sio kabisaPole mkuu naona hapa imeniitokea inaonekana hui mtandao sio kabsa