Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

Naomba mbinu ya kumtrack mwizi wa simu yangu?

Wahuni watu wabaya sana kama ni simu ya bei kali wala hawahangiki inaflashiwa wahuni wanazipeleka nchi jirani na zile zilizopigwa huko mfano labda congo ama zambia zinakuja bongo uta track mpaka uchoke mm na uhuni wangu wote walinipiga SAMSUNG NOTE 20 mpaka leo nimebaki na boksi na chaji [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi?

Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu?

Naomba ushauri
Usipoteze muda nunua simu mpya!
 
Back
Top Bottom