ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 3,832
- 11,964
Anaipata vizuri.acha kumkatisha tamaa.tena kama ana ndugu yupo kwenye vitengo ndo kabisa watamsikiliza haraka.Usije ukathubutu Kimla utapoteza pesa na muda bure na hautaipata simu yako, kanunue nyingine.
Usipoteze muda nunua simu mpya!Ndugu zangu naomba kujua njia ya kutack simu ya mwizi wangu ili nijue Yuko wapi?
Kunasystem inajulikana nzuri yakutumia kulocate simu ya mtu ninayemtafuta hata kama amezima simu?
Naomba ushauri
🙏Ahsante.
Police ikiwapelekea wanamkata mwizi hawakwambii wanampiga pesa simu wanachukua af wanauza tenaUkienda polisi wana kitengo cha cyber, unalipa kidogo wanakusaidia kuipata simu yako
Labda iibiwe wa vibaka wa MwananyamalaAnaipata vizuri.acha kumkatisha tamaa.tena kama ana ndugu yupo kwenye vitengo ndo kabisa watamsikiliza haraka.

Yeyote yule. Kikubwa simu iwe hewani.Labda iibiwe wa vibaka wa Mwananyamala
[emoji1][emoji1]wew huwez kuipata mkuu nenda tu kwa nenga matelephoneAnti theft mode ni kitu gani?
Kutrack simu ya mwizi wako??Mode nisaidie kurehekebisha title naaminisha mbinu ya kutrack simu ya mwizi wangu
Na simu yake polisi wataipata na wataiuza au kuitumia wao, hawatomrudishia kamwe.Nenda police ba box la simu lenye IMEI NAMBA.na hela ya chai.
Hizo kesi wanazipenda sana zina hela.
Wanakula kwako na watakula kwa mwizi wako
aende central. Aachane na vituo vya uswahilini.Na simu yake polisi wataipata na wataiuza au kuitumia wao, hawatomrudishia kamwe.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app