Naomba mbinu ya kupambana na upara

Bullshit

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,357
Reaction score
1,596
Mbinu gani naweza kutumia ili kuridisha nywele zangu.

Watu waliniambia nitakuwa na upara lakini ni kitu sikujali sana, saiv naona kabisa nina upara.

Mwenye mbinu yeyote anawezakusaidia kurudisha nywele zangu ajitokeze kabla sijachukua maamuzi ya kukubaliana na hali yangu.



Huo ndo upara wangu
 
Ukubali tu hakuna namna.
Ulipokuwa mdogo ulifurahia kuwa na nywele nzuri ila sasa ni huzuni, wenye kipilipili nywele zao zipo imara.
 
Usijali sie ndo tunataka hivo hatutaki wavulana.
Unique Flower haya kazi kwako
 
Hair Transplant surgeons kutoka Uturuki walikuwepo hapa Tanzania(dar es salaam) around last quarter ya mwaka jana maeneo ya mjini kati, niliona tangazo lao. Fuatilia kam bad wapo or kama kun wataaluma wengine wa hivyo.

Hair transplant ni simple surgery sio ya kutisha. You can do it to restore your hair AU Unaweza kuvaa special designed wig with the symmetry of your hair loss kuficha kipara chako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…