Naomba mbinu ya kupambana na upara

Naomba mbinu ya kupambana na upara

Dawa ya upara ni kuukubali, unapiga dongo, unapaka mafuta vizuri,

Zikichomoza unakwangua, gfresh watu watazoea kabisa hakuna mtu atakushangaa

Ila hapo wewe bado sema tu utoto mwingi
Jamaa ana nywele kabisa halafu anajiita upara. Wenye vipara wasemeje.
 
Ukubali tu hakuna namna.
Ulipokuwa mdogo ulifurahia kuwa na nywele nzuri ila sasa ni huzuni, wenye kipilipili nywele zao zipo imara.

Ila mnajua kukatisha watu tamaa jamani
 
Jamaa ana nywele kabisa halafu anajiita upara. Wenye vipara wasemeje.

Upara unaanza hivyo ndomana nimekuja labda nawezakupata ishauri namna ya kukaniliana na upara kabisa
 
Upara unaanza hivyo ndomana nimekuja labda nawezakupata ishauri namna ya kukaniliana na upara kabisa
Piga nyeto kila siku asubuhi halafu siriba lile bao kwenye utosi.
Kama vile hizo mbegu zinaweza rutubisha yai la mwanamke kupelekea mimba basi zitarutubisha utosi wako na kufanya nywele zimee zaidi.

Hiyo dawa ni nzuri maana unapata raha ya kufika mshindo pamoja na kutibu uwaraza.

Kila la heri.
 
Nilibid niangalie ulijiunga JF lini, lakini nikakumbuka msafara wa mamba kenge hawakosi
 
Mimi sijamaanisha tu nimeishi na baba mwenye kipara mmoja kamridhi anaanza kutokwa nacho sasa si kero
 
Back
Top Bottom