Naomba mbinu ya kupambana na upara

Naomba mbinu ya kupambana na upara

Piga nyeto kila siku asubuhi halafu siriba lile bao kwenye utosi.
Kama vile hizo mbegu zinaweza rutubisha yai la mwanamke kupelekea mimba basi zitarutubisha utosi wako na kufanya nywele zimee zaidi.

Hiyo dawa ni nzuri maana unapata raha ya kufika mshindo pamoja na kutibu uwaraza.

Kila la heri.
unakatwa Na Wachawi
 
Hapo bado miguu kuuma na kushindwa kukumbuka watu mkuu ni uzee huo usijali sana
 
Kipara hutegemea na Hela zako. Ukiwa na noti watesema kipara Cha pesa na utaitea hensamu
 
Pitia uzi huu
 
Mbinu gani naweza kutumia ili kuridisha nywele zangu.

Watu waliniambia nitakuwa na upara lakini ni kitu sikujali sana, saiv naona kabisa nina upara.

Mwenye mbinu yeyote anawezakusaidia kurudisha nywele zangu ajitokeze kabla sijachukua maamuzi ya kukubaliana na hali yangu.

View attachment 2877706

Huo ndo upara wangu
Pole Sana, tafuta mafuta ya parachichi utumie Kwa ajili ya nywele zako, yatasaidia kusaidia katka uotaji wa nywele zlizopotea. Jitengenezee mwenyewe kama inawezekana itakua PoA zaidi. Angalia YouTube Kuna video kibao za Namna ya kutengeneza hayo mafuta.
 
Back
Top Bottom