Naomba mbinu ya kupambana na upara

unakatwa Na Wachawi
 
Hapo bado miguu kuuma na kushindwa kukumbuka watu mkuu ni uzee huo usijali sana
 
Kipara hutegemea na Hela zako. Ukiwa na noti watesema kipara Cha pesa na utaitea hensamu
 
Pitia uzi huu
 
Pole Sana, tafuta mafuta ya parachichi utumie Kwa ajili ya nywele zako, yatasaidia kusaidia katka uotaji wa nywele zlizopotea. Jitengenezee mwenyewe kama inawezekana itakua PoA zaidi. Angalia YouTube Kuna video kibao za Namna ya kutengeneza hayo mafuta.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…