Naomba mbinu za kumuangamiza kenge

Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.

Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.
 
hii ndiyo njia sahihi kabisa...
Chemsha mayai kadhaa kisha fanya timming umtegeshee hapo anapoingilia kuja kula.

Ujinga wa kenge huwa yai analibugia na kulivunjia kooni. Yai lililochemshwa halivunjiki so akibugia lazma lita clog njia ya hewa atabaki anatapa tapa mpaka kufa kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna aina 2 za wanyama hao wanaokula mayai ya kuku
Nguchiro ana mkia mrefu cha kumfanya tafuta makazi yake anapenda kuishi katika vichuguu vikia mashimo yote bakiza moja, tega gunia na kitanzi kwa shimo moja, pili sumia sumi ya Furodan au Dusbun (sijui km nimepatia spelling choma na sindano mwagia dawa humo ndani ya yai zina na glue Kama ni Kennge yey analimeza lote mpe Dawahizo na mtengo ongezea na kulichemsha akilimeza litamkwama
zaidi ya hapo piga rungu na mawe kwa sana na qwishney
 
kuna Kenge wakubwa kama mamba mdogo yai kwake ni kama goroli, cha muhimu atafute na sumu ambayo haina harufu kuweka kwenye hayo mayai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…